Huwa nikiona dalili ya mvua faster natafuta mwamvuli sisubiri mpaka ninyeshewe.
pole ilikupata tokea boy wako alisema una nini??:glasses-nerdy:Upo kama mimi
Upo kama mimi
ikinyesha hakikisha analoa yeye...
wewe ni 'demu wa dot com'?
pole ilikupata tokea boy wako alisema una nini??:glasses-nerdy:
Boy na mie wapi na wapi?
Umeshindikana au Wanakukimbia wenyewe teh
Yote majibu