Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,943
Saivi mikutano kama kawa! Chadema na ACT wanajimwaga tu na nchi inaendaMikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya [rasimu ya Warioba].
Hahahahaha.Poleni sana Suzy Elias , Nyankurungu2020 Kilatha Mudawote Nyani Ngabu Memento Etwege Crimea Dodoma moja @paulsilvester, johnthebaptist na wengineo
Naona mnazidi kuugulia maumivu bwasheee!Hahahahaha.
......wewe bavicha bure kabisa
Bwashee ulichosahau ni kuwa.Kazi Inaendelea!Naona mnazidi kuugulia maumivu bwasheee!
Ni hakika na kweliKama kweli vile
Ndo nawashangaa sijui chuki na Mama wa watu mnazitoa wapi? Wakati kazi inaendelea kweli kweliBwashee ulichosahau ni kuwa.Kazi Inaendelea!
Yawezekana wewe ndio una Chuki bwashee baada ya Mbowe kutimba IkuluNdo nawashangaa sijui chuki na Mama wa watu mnazitoa wapi? Wakati kazi inaendelea kweli kweli
Ongezea na hawa comte Lwiva Sang'udi Statesman IdugundePoleni sana Suzy Elias , Nyankurungu2020 Kilatha Mudawote Nyani Ngabu Memento Etwege Crimea Dodoma moja @paulsilvester, johnthebaptist na wengineo
Yaani mambo yanakwenda, enzi ya JPM ungedhani kuongoza nchi ni sawa na kutafuna kokotoTangu Mama kashika usukani kutwa kucha wamekuwa wakiwanga afeli
Walitegemea miradi ya kimkakati itafeli wapate cha kuongea badala yake miradi inaendelea na hakuna kilichosimama, kuanzia bwawa la Nyerere,SGR, madaraja ya Tanzanite na Busisi na Bandari za Mtwara, Kalema na Tanga
Walitegemea mapato yatashuka Kwa sababu ya mama kutumia akili badala ya maguvu kinyume chake mapato yako mswano na kodi inakusanywa bila kelele na mambo yanaenda
Walitegemea mgao wa umeme utaendelea ili wachonge zaidi kinyume chake Hakuna mgao na Tanesco wanapiga mzigo wa hatari kuongeza vyanzo vya umeme na hali shwari kabisa
Mwisho walitegemea atakosa hela za kuongeza mishahara baada ya Mzee wao kushindwa kuongeza mishahara kwa miaka 6, kinyume chake Mama kaongeza mishahara na hakuna mradi uliosimama
Sasa wamebaki kulalama tu, Mara haiwezekani, mara hakuna mapato , wamesahau kuwa Mungu wao alikopa huku akidanganya kufanya miradi kwa pesa za ndani alafu hata mishahara hakuongeza!
SGR inajengwa kwa mkopo, madaraja mikopo, Barabara mikopo alafu akasotesha watumishi miaka 6 bila nyongeza
Mama endelea kuupiga mwingi, hawa vizabizabina lazima wawehuke na kuvaa bukta kichwani safari hii! Unawachanganya na chuki zao si mchezo!π
Chadema wanajimwaga wapi huko nikawaone?Saivi mikutano kama kawa! Chadema na ACT wanajimwaga tu na nchi inaenda
Jinga kabisa kwani hujui juzi tu waziri mkuu alilakamika kuhusu mradi wa meli mza ulivyosimama na pesa wamekuala?Tangu Mama kashika usukani kutwa kucha wamekuwa wakiwanga afeli
Walitegemea miradi ya kimkakati itafeli wapate cha kuongea badala yake miradi inaendelea na hakuna kilichosimama, kuanzia bwawa la Nyerere,SGR, madaraja ya Tanzanite na Busisi na Bandari za Mtwara, Kalema na Tanga
Walitegemea mapato yatashuka Kwa sababu ya mama kutumia akili badala ya maguvu kinyume chake mapato yako mswano na kodi inakusanywa bila kelele na mambo yanaenda
Walitegemea mgao wa umeme utaendelea ili wachonge zaidi kinyume chake Hakuna mgao na Tanesco wanapiga mzigo wa hatari kuongeza vyanzo vya umeme na hali shwari kabisa
Mwisho walitegemea atakosa hela za kuongeza mishahara baada ya Mzee wao kushindwa kuongeza mishahara kwa miaka 6, kinyume chake Mama kaongeza mishahara na hakuna mradi uliosimama
Sasa wamebaki kulalama tu, Mara haiwezekani, mara hakuna mapato , wamesahau kuwa Mungu wao alikopa huku akidanganya kufanya miradi kwa pesa za ndani alafu hata mishahara hakuongeza!
SGR inajengwa kwa mkopo, madaraja mikopo, Barabara mikopo alafu akasotesha watumishi miaka 6 bila nyongeza
Mama endelea kuupiga mwingi, hawa vizabizabina lazima wawehuke na kuvaa bukta kichwani safari hii! Unawachanganya na chuki zao si mchezo!π
πππPoleni sana Suzy Elias , Nyankurungu2020 Kilatha Mudawote Nyani Ngabu Memento Etwege Crimea Dodoma moja @paulsilvester, johnthebaptist na wengineo
Hakukuwa na plan ya kujenga BRT kutoka Morocco mpaka Tegta huko? Barabara ya kwanza ikfumuliwa na ujenzi ukaanza? Naona imebadilika na kuwa upanuzi wa barabara uliokwama!Jinga kabisa kwani hujui juzi tu waziri mkuu alilakamika kuhusu mradi wa meli mza ulivyosimama na pesa wamekuala?
Na bado bwawa la nyerer tumeanza kudaiwa faini ya ucheweshaji zaidi ya bilioni 8 na kuendelea.
Wewe uko dunia ya wapi au ndo mnakula asali sasa mnabwatuka tu bila kujua hali ilivyo.
Wanatafuta ntoke vipi saivi!