Huyu Mayele atatuua kwa presha.Huoni goli la pili alivyowafinya mabeki?Makosa madogo aliyoyafanya Kocha katika Sub, yamempa ujiko Mayele,maana hadi kipindi cha kwanza kinaisha kabla ya sub, Mayele hakufa shambulio lolote la maana.
Kipindi cha kwanza hakuonekama kwa sababu ya viungo wote wa Yanga waliwekwa kwapani na akina Kanoute na Chama, kitendo cha kuwatoa tu, Mayele akafanya yake maana mipira ilikuwa inadondola tu kwa kwake,anaisogeza na kuangalia afungie wapi...hatari sana.Huyu Mayele atatuua kwa presha.Huoni goli la pili alivyowafinya mabeki?
Nikikumbuka enzi zile mnamkejeli kwa kumuita Aziza! Nabakia kucheka tu. 😁Hakuna kipindi mtu anasema UKWELI kama kipindi ambacho amekasirika, yaani anaweza kutaja michepuko yote mbele ya MUME/MKE wake.Wanasimba tumevurugwa kweli kweli.
Kipindi ambacho tuna hali hiyo hebu jibuni hapa haya maswali ili na mimi mwanasimba (nipate uelewa Niwe na cha kuongea mbele za watu)÷
1. Zile 20B ziliwekwa account gani?
2. Mimi sina imani na Mo nyie wenzangu mmefanywa nini kuendelea kumuamini kiasi hiki?
3. Lini mwisho wa machungu haya (uteja kwa Yanga)mbana kama hamna dalili?
4. Mnadhani hata huyo Manzoki tunayemtaka atapita mwenyewe ule ukuta wa Yanga? Huyo huyo manzoni ndo atamkaba mbaya wetu Mayele?
5.Je mnajua kama kuna adui yetu mkubwa ameongezeka pale mbele AZIZ KI?
YAANI NIMEVURUGWA HASWA
uongo man.......mayele aliwatia kamba goli la kusawazisha wakati hao makolo uliowataja wote wapo ndani ya uwanja.Kipindi cha kwanza hakuonekama kwa sababu ya viungo wote wa Yanga waliwekwa kwapani na akina Kanoute na Chama, kitendo cha kuwatoa tu, Mayele akafanya yake maana mipira ilikuwa inadondola tu kwa kwake,anaisogeza na kuangalia afungie wapi...hatari sana.
Of course ni Aziza, na mwingine naye ni Joyce, au unataka kusemaje?Nikikumbuka enzi zile mnamkejeli kwa kumuita Aziza! Nabakia kucheka tu. [emoji16]
Na bado wale mwengine akina Gael Bigirimana, Kambole na Joyce Lomalisa! Wakianza kukinukisha mtaita maji mma kudadek!
Sina cha kusema kwa kweli. Maana kazi inaonekana uwanjani.Of course ni Aziza, na mwingine naye ni Joyce, au unataka kusemaje?
Tutawapiga na TFF yao.Tutaendelea kuwafumua Hadi mje kuomba Apology kwetu wanaYanga.. mje mkiwa mmepiga magoti
Yap, kazi imeonakana ila haiondoi ukweli kuwa Yanga mna Joyce na Aziza, full stop!Sina cha kusema kwa kweli. Maana kazi inaonekana uwanjani.