Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,002
- 7,327
Unaongea kwa mihemko na hujui lolote kuhusu zimbwe kuondokaHeshima gani?
Mlishindwa kumpa heshima yake kwa kushindwa hata kumlipa pesa zake kwa wakati heshima gani hiyo??
Ndio maana kaamka kusepa kwenda kutafuta pesa zaidi heshima mbwembwe tu
Sasa msimuongelee na yeye ana familia pia
Kichwa kinawaza ujinga,unayemwaza ni wewe uliyeleta mada ya kijingaHayo ndio maneno ya mfamaji? Msimu uliopita na sasa ana tofauti gani? Si ndio yule yule tu?
Siwezi kuumiza kichwa kwa sababu ya upumbavu wa wanasimba kichwa umiza wewe hapo
Move on mzee
Kwa akili zako kwenye maisha ya soka utasema Shabalala bado kinda?Mara hii amekuwa babu? Msimu uliopita hapo msimbazi alikuwa kijana ila sasa ni babu?
Hizi ndio chuki tunazosemea move on wansimba shabalala amechagua mafanikio
π¦ππ