Wanasiasa tangatanga

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,079
Reaction score
4,893
Siasa za Tanganyika kuna wakati zinachekesha sana

Hebu Soma hii Habari ya huyu Mwanasiasa alikuwa CCM akapata kuwa Waziri akatoka CCM na kujiunga na UPINZANI na kutoa Kauli hiyo kisha akatoka UPINZANI akarudi CCM na kutoa tena Kauli hiyo

Sijui Wananchi TUAMINI Kauli ya kwanza au mwisho

Hayati BABA wa TAIFA aliwahi kuwakemea WANASIASA wa AINA HIYO na kwa sasa hivi WANASIASA TANGATANGA Wameshamiri ktk VYAMA vya Siasa Nchini.



Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Siasa za hovyo zisizo na principles zozote.
 
USIMUAMINI MWANASIASA!

HIVI NYIE BADO MNAWAAMINI

ova
 
Kundi linajipanga, jana Mzee wa goli la dk 89, Membe, leo Nyalandu, mambo yanawaendea vizuri watu wa Chalimze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…