Akizungumzia hukumu hiyo iliyotolewa Oktoba 9, mwaka huu, Dk. Abbasi amesema ameulizwa kuhusu hukumu hiyo, na hivyo amelazimika kutoa ufafanuzi. “Msingi wa kesi zote mdaiwa siyo serikali wala Tanesco, ni deni la benki dhidi ya IPTL (kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited)...