udhibitisho huu hapo down
Harmonize aliachana na kajala, tena wakarudiana lkn mwisho wa yote wakaachana
Diamond na zari walirudiana mwisho wa siku wakaachana
Vanny boy na fahma walirudiana mwisho wa siku adi now hawaelewani hao vilevile washaachana
Madebe na chanuo walitengana mwisho wa siku walirudiana muda kidogo wakaachana wanalea watoto tu
Mose iyobo na anti ezekiel walirudiana mwisho wa siku wakaachana
Juma jux na vanessa mdee waliachana wakarudiana tena wakaachana mazima
kurudiana na Ex sio vizuri kunaviumbe vinatakaga payback unajifanya unaonyesha mapenzi kumbe mwenzio anataka kulipiza kisasi