Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,453
Je hawa wanaotuminisha chanjo ni salama na wakadiriki kucheza futuhi kumchoma mama ili watu tuamini ni salamaWatu waoga sana.
Mbona kuna marais walikuwa wanapinga sana kuchanjwa?
Wengine waeshatangulia mifano ipo.
Hili hata wahisani wanajua kuwa watanzania wameamua kuwaigiziaInawezekana hili zoezi la chanjo linafanyika ili kuwafurahisha wahisani wetu.
Nakubaliana na wewe mkuuInawezekana hili zoezi la chanjo linafanyika ili kuwafurahisha wahisani wetu.
100% nakubaliana na weweHili hata wahisani wanajua kuwa watanzania wameamua kuwaigizia
WEWE NI GENIUS...Tangu zoezi la haya machanjo lianze, wajuvi tuliona kuna usanii mwingi na maigizo ndani yake.
Ukiachana na kituko cha wale manesi bandia walioshika sindano kama penseli tena bila gloves na tahadhari zingine za kiafya, leo hii kumezuka kitimbi kingine.
Mmojawapo wa 'wahubiri wa chanjo', Daktari Sospeter Bulugu, leo hii ameonekana akipepesuka na kutaka kuanguka akiwa kwenye kongamano la kuhubiri chanjo kwenye moja ya video iliyorekodiwa.
Baadae ikasikika sauti ya Waziri Dorothy Gwajima akitaka tukio lile lisirushwe na vyombo vya habari kwa sababu eti 'litaipaka tope' chanjo.
Baada ya mabishano ya hapa na pale, wengine wakisema kwamba Daktari Sospeter alitaka kuanguka kutokana na madhara ya chanjo, Wizara ya Afya imekuja na kanusho kwamba Daktari Sospeter hajachanjwa na hajawahi kuchanjwa.
Lakini cha ajabu Daktari huyu alikuwa kwenye kongamano la kuhubiri watu wakadungwe chanjo.
Na inawezekanaje watu wanaowashawishi watu wakadungwe michanjo ya Covid wao wenyewe hawataki kudungwa?
View attachment 1891039
Kuna uwezekano amechanja ila kukubali kwamba amechanjwa.... Ina maana hta kma ataugua Malaria au kisukari kishuke/kipande then watu wataamini ni chanjo tu imemdhuru na sio kingine. So kukiri amechanjwa kweli ita jeopardise operation nzima.Tangu zoezi la haya machanjo lianze, wajuvi tuliona kuna usanii mwingi na maigizo ndani yake.
Ukiachana na kituko cha wale manesi bandia walioshika sindano kama penseli tena bila gloves na tahadhari zingine za kiafya, leo hii kumezuka kitimbi kingine.
Mmojawapo wa 'wahubiri wa chanjo', Daktari Sospeter Bulugu, leo hii ameonekana akipepesuka na kutaka kuanguka akiwa kwenye kongamano la kuhubiri chanjo kwenye moja ya video iliyorekodiwa.
Baadae ikasikika sauti ya Waziri Dorothy Gwajima akitaka tukio lile lisirushwe na vyombo vya habari kwa sababu eti 'litaipaka tope' chanjo.
Baada ya mabishano ya hapa na pale, wengine wakisema kwamba Daktari Sospeter alitaka kuanguka kutokana na madhara ya chanjo, Wizara ya Afya imekuja na kanusho kwamba Daktari Sospeter hajachanjwa na hajawahi kuchanjwa.
Lakini cha ajabu Daktari huyu alikuwa kwenye kongamano la kuhubiri watu wakadungwe chanjo.
Na inawezekanaje watu wanaowashawishi watu wakadungwe michanjo ya Covid wao wenyewe hawataki kudungwa?
View attachment 1891039
Umeongea vizuri, ila pia sio kila anaekufa sasa hivi anakufa kwa corona, maana magonjwa mengine bado hayajaacha kuua.Kuna uwezekano amechanja ila kukubali kwamba amechanjwa.... Ina maana hta kma ataugua Malaria au kisukari kishuke/kipande then watu wataamini ni chanjo tu imemdhuru na sio kingine. So kukiri amechanjwa kweli ita jeopardise operation nzima.
Mbona Maalim au JPM hawakuchanjwa na walifariki ''ghafla'' ila leo hii akifariki Mbowe au Mpango utaskia "chanjo zimejibu".
WaTanzania ni watu wasio wadadisi so kuchanganua ni ngumu sana tofauti na Kenya au Uganda. Tunapenda sana umbea so whether amechanjwa or not haina maana sukari inapotea. No wonder imesikika akipewa pipi na soda hapo kwa clip.
Tuache misinformation zisizo kuwa na tija na kutishana. Unaogopa chanjo kuliko hata corona yenyewe?? Mionzi tu ya smartphone inatuua taratibu lakini unakuta jitu limeshika hyo hyo smartphone linapovuka mabeberu wanataka kutuua!!
Funny
Tangu zoezi la haya machanjo lianze, wajuvi tuliona kuna usanii mwingi na maigizo ndani yake.