Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Shamsi vuai; Hotuba ya lissu imejaa hadaa, ulaghai kwa watu wa zanzibar,
Hotuba ya lissu haikuleta mapendekezo ya nini kifanyike, zaidi ametoa kasoro. Amesema, kwa maoni yake VUAI anapendelea muundo wa serikali 2 na si vinginevyo
Shamsi Vuai akawaambie hayo maneno UAMSHO.
Bungeni LIVE,
Mkuchika amesema serikali 2 ndio muundo bora kabisa, pia akasisitiza wanaotaka serikali 3 wanatupeleka kuzimu. Naona serikali sikivu wameweka msimamo wa serikali 2 rasmi na inatisha.
Wabunge wa ccm zanzibar, hawaeleweki bungeni, maana ndio watetezi wakuu wa muungano kuliko hata wa tanganyika
werema mtu wa ajabu kabisa