Usidhani nimekurupuka ndugu.
Najua average amount ya hizo bidhaa Tatu kwa Mujibu wa Muwekezaji gold 3kg, silver 3kg na copper 3,000kg au Tani 3.
Ndio maana Nimekupa kadilio la juu kupitiliza yaani 5000kg.
Haya niambie hizo kg 16994 ni nini....
Mleta mada mwanzoni aliandika cupper, ndo maana nikauliza. Ila amesharekebisha post ykeHakuna madini kama hayo duniani. Pengine unamaanisha COPPER ambayo hujulikana kama Shaba?
"Madini yaliyobaki ni machache sana na ni mali ya mchenjuaji /smelter " moja ya majibu ya watafiti wa tume ya kitanzania iliyowahi kuchunguza hiyo kitu...Waste(non valuable material)
Mkuu nakupata kabisa ndio maana wanasema (wawekezaji) gold ni 3kg, 3kg silver copper 3 tons katika 20tons container.Mh mitale na midimu haya mambo yatakuumiza kichwa sana maana unayajua kwa juu juu sana.
Ila nikuelimishe tu kidogo Mkuu wangu...unapoambiwa labda grade ya dhahabu kwenye tani moja ya mchanga ni labda 2 (yaani 2g/t Au) ni kwamba ukichenjua hyo tani moja utapata gram 2 za dhahabu. Kinachobaki sio dhahabu ni madini menguine na mchanga ambao pia ni Madini au udongo.
Kwa hyo kama inasemekana tani 20 za makinikia zina hzo tani 5 za Madini unayosema kinachobaki baada ya hayo Madini kutolewa ni mchanga/uchafu ambao labda unaweza kuutumia kwa kujengea nk nk.
Mkuu nakupata kabisa ndio maana wanasema (wawekezaji) gold ni 3kg, 3kg silver copper 3 tons katika 20tons container.
Kwa Mujibu wa tume iliyofanya feasibility study kwa nini smelter isijengwe hapa miaka ya nyuma walikili kilichobaki Kuna madini mengine mengi ila yanakiwango kidogo kisichokidhi na ni mali ya smelter. Huoni kama tume ya Sasa imezama zaidi ya ushauri wa kudhani Ile ni waste...
Mkuu nakupata kabisa ndio maana wanasema (wawekezaji) gold ni 3kg, 3kg silver copper 3 tons katika 20tons container.
Kwa Mujibu wa tume iliyofanya feasibility study kwa nini smelter isijengwe hapa miaka ya nyuma walikili kilichobaki Kuna madini mengine mengi ila yanakiwango kidogo kisichokidhi na ni mali ya smelter. Huoni kama tume ya Sasa imezama zaidi ya ushauri wa kudhani Ile ni waste...
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.
Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
Unaweza kuta wewe mleta mada ni graduate kabisa!Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.
Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
Kwa akili yako kinachozungumzwa hapo ni hizo tani zilizobaki valuable minerals?Unajua kuna kitu kinaitwa quartz(SiO2)?Unajua ni mineral pia?"Madini yaliyobaki ni machache sana na ni mali ya mchenjuaji /smelter " moja ya majibu ya watafiti wa tume ya kitanzania iliyowahi kuchunguza hiyo kitu...
Hahahahahahahahahahahahahhahh brother ymenifurahisha sanaaaLabda za ulezi!
Unabishana na wawekezaji wenyewe wanasema Kuna madini japo viwango ni vidogo na ni mali ya smelter kulingana na contract yao na smelters wa Japan, China na German. Ugomvi wetu ni kuwa yako kiwango kikubwa kuliko wanavyotwka kuaminisha watuKwa akili yako kinachozungumzwa hapo ni hizo tani zilizobaki valuable minerals?Unajua kuna kitu kinaitwa quartz(SiO2)?Unajua ni mineral pia?
Huyu jamaa yuko usingizini...Kwahiyo mkuu unataka kusema na kutuaminisha kuwa hizo tani 15 ni madini pia?
Nadhani ni makapi hayo
Nioneshe hiyo sehemu wanayosema ni mali ya smelters!Unabishana na wawekezaji wenyewe wanasema Kuna madini japo viwango ni vidogo na ni mali ya smelter kulingana na contract yao na smelters wa Japan, China na German. Ugomvi wetu ni kuwa yako kiwango kikubwa kuliko wanavyotwka kuaminisha watu
Haya yako kwenye kinyesi cha funza hayaMadini ya CUPPER ndo madini gani hayo..??
Usiwe na ShakaNioneshe hiyo sehemu wanayosema ni mali ya smelters!
Hakuna anaebisha tunaibiwa
tunabisha hizo njia za kuwakamata sio sahihi
Kingine tunabisha ukweli wa serikali
Serkali hii hii imeongopa sana kwenye mambo meengi
Juzi tu walisema Manji muuza dawa za kulevya
leo mtu yupo huru mtaani hata kesi moja wameshindwa kufungua
hii serikali ina sifa ya kukurupuka na kuongea uwongo...
In general, Copper Concentrate consists of major and minor elements such as Cu, Au, Ag, Fe, S, As, Sb, Bi, Pb, Zn, Ni, Hg, Al2O3, SiO2, CaO, MgO, Mo, Ni, Se, Te, F, Cl, Sn, Cd, Ge, Co, Mn, Cr.Kwa akili yako kinachozungumzwa hapo ni hizo tani zilizobaki valuable minerals?Unajua kuna kitu kinaitwa quartz(SiO2)?Unajua ni mineral pia?
Moja ya byproduct ni Platinum group metals.Mkuu wawekezaji wao wanasema hayo Madini mengine kama Sulphur,,, Iron,,,Iridium,,tantalium,,etc are not of commercial value maana yake ni kwamba wakiingia gharama ya kuyachenjua hawatapata faida. Ni kweli team iliyoundwa kuchunguza uwezekano wa kujenga smelter hapa nchini walisema hayo Madini mengine huwa ni Mali ya smelter owner...yaani ni kama vile unaenda kukoboa mahindi ile pumba anabaki nayo Mwenye machine ya kukobolea ingawa wengine huwa wanaruhusu kuondoka na Unga.
Tufanye nn sasa????kama kilichoelezwa na tume ni kweli 100% hatuna haja tena ya kuwa na kigugumizi cha kujenga smelter kwani hata kiasi kidogo cha copper concentrate kinachopatikana hapa nchini kitaendesha mtambo kwa faida Kabisa. Kwa hyo tufanye tu maamuzi faster.
Mbili...tunaweza kununua hayo makinikia kwa bei acacia wanayouzia huku wanakouza halafu tukaenda kuchenjua wenyewe kama ambavyo wadau wanashauri. Ila kwangu Hili itakuwa ni fedhea sana kwa nchi kama nchi..
Tatu....kwa vile kuna mikanganyiko kati ya acacia na tume kwenye kinachopatikana...jawabu ni kuunda time huru Kabisa kama walivyoshauri acacia ifanye uchunguzi tena wa hayo makinikia wakija na majibu yao tufanye ulinganisho tuone nani mkweli na nani muongo.
Hivi ni mimi sikuelewi unauliza nini au ni wewe hujui unachouliza?Usidhani nimekurupuka ndugu.
Najua average amount ya hizo bidhaa Tatu kwa Mujibu wa Muwekezaji gold 3kg, silver 3kg na copper 3,000kg au Tani 3.
Ndio maana Nimekupa kadilio la juu kupitiliza yaani 5000kg.
Haya niambie hizo kg 16994 ni nini....