Ni gb 32 , ram 3gbUtauza sana, kuna mwenzako humu alikuwa akiuza laki 580k, ni GB ngapi?
Tofouti ya china version na global version ni ipi?
Nitakutafuta MkuuNi gb 32 , ram 3gb
Utofauti zote ni sawa ila zinatofaitiana kwenye ROM . China comes with china ROM na global inakuja na global ROM. Ila unaweza weka global version kwenye chinese version ila sasa wengi tunakimbia china kwasabb ya sakata la google unaweza chukua chinese one ukakosa baadhi ya service za google .
Better to choose global maana ina features nyingi kulingana na nchi utokayo
Ndio xiaomi hizo msisite kuchukuaNimependa dark mode yake
Nakuomba plz kaweke pia tangazo hili kwenye uzi wangu kule jukwaa la sayansi na teknolojiaUlikuwa unahitaji nn cuz naweza nikakufanyia mpango very easy kama kipo
Chukua kijana ni nzuri sanaNimependa dark mode yake
Mkuu una rangi nyeupe hapo nijilipueNi gb 32 , ram 3gb