Kinana hakukosea kuwaita Makapi , Msindae, Guninita, Makongoro ni Makapi kwelikweli.
Kichwa kitaendelea kukuuma sana, endelea kujiuliza tena kwa nini wote wanaohama Chadema wanaenda ACT na siyo CUF NCCR, NLD? Kichwa endelea kuuma!Naomba kujua kwanini wote wanaohama CCM wanakimbilia CHADEMA na sio washirika wengine wa UKAWA kama CUF, NCCR au NLD?
Je ni tamaa ya kupata vyeo kwa sababu CHADEMA ndio italayounda serikali?
Kichwa kinauma wadau.

Hivi mahawala, vimada, wachumba wa Mbowe na Slaa umewasahau kuwataja. Nyani haoni kundule. Kamanda usitaje vitu vinavyogusa pia na upande wako, we vipi si uulize kwanza? ?CDM siyo CCM inayogawa vyeo hadi kwa wendawazimu,weu,mahawala,vimada nk pasipokuangalia sifa za kiuongozi za huyo mtu!
CDM siyo CCM inayogawa vyeo hadi kwa wendawazimu,weu,mahawala,vimada nk pasipokuangalia sifa za kiuongozi za huyo mtu!