Kwakweli kama mzazi ,na humiya na nakosa raha sana
Ni vijaana wangu,huyu mdogo hana kabisa,heshima kwa kaka yake,nimepoteza hela nyingi kumugalamiya ila amevuruga kila kitu
Na mama yake hakiwa mtetezi waake,mkuu
Niliwaita,wote wawili jana na nika waambia hule wimbo wa baatu buduju,nyie watoyowa baba mmojaa
Kam malizipo,kama manyumba yapoo,nyie niwatoro wafaza mmoja,nyie niwatoyowa dadi mmoja
Nikawashikinisha mikono nakuwataka wapendane,kwani wawo nivijana wamgu
Nachoja sana, huyu mudogo pulosip.a ni musubufu saana
Nimepoteza zadi ya miriwonu sabibi kumushugurikiya,ira amevuruda naamama,yakeanamutetea uyu muke wagu mudogo yurewa piri
wakubwawezangu,mari zipo ira vijaawangu awapendani,nakoasa fulaha,