Wanandoa mnayaelewaje maneno haya?

Mungu-atosha

Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Unaelewa nini kuhusu maandiko haya Mathayo 19:9 kutoka katika biblia takatifu?
Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini."
 
Maana yake usimuachee mkeo kwa sababu yeyote ile isipokua uzinifu pia ikitokea unataka kuoa ke ambaye alichwa lazima ujue kwa nini aliachwa kama aliachwa kwa sababu za uzinifu basi hafai maana hata ukifunga nae ndoa ni buree tu kwa kura utakua unazini tu imeandikwa
 
Sijaelewa kitu maana thread ina title nyingine na content nyingine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…