Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,674 Reaction score 2,216 May 11, 2022 #1 Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa! Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea. Najua wengi hapa watasingi waume hawatunzi. Hapana.
Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa! Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea. Najua wengi hapa watasingi waume hawatunzi. Hapana.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 May 11, 2022 #2 Watasema kazi nyingi
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,116 May 11, 2022 #3 Mtoto halali na hela said: Watasema kazi nyingi Click to expand... Unakuta kipochi kinanuka ukiuliza ugomvi. Unaishia kula hivyo hivyo ili mradi usiibue varangati!
Mtoto halali na hela said: Watasema kazi nyingi Click to expand... Unakuta kipochi kinanuka ukiuliza ugomvi. Unaishia kula hivyo hivyo ili mradi usiibue varangati!
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,285 May 11, 2022 #4 Sasa wakiachika si wanarudi sokoni? Lazima wajisoup upyaaaa
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,740 Reaction score 22,490 May 11, 2022 #5 Mazvuzzi hawanyoi,hawaoshi k..wanatuchukulia poa
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 May 11, 2022 #6 Juma1967 said: Unakuta kipochi kinanuka ukiuliza ugonvi Click to expand... Huyo sasa hajipendi, hata kusafisha tumbua yake
Juma1967 said: Unakuta kipochi kinanuka ukiuliza ugonvi Click to expand... Huyo sasa hajipendi, hata kusafisha tumbua yake
M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,706 Reaction score 4,545 May 11, 2022 #7 Izo ni kampeni tu apate bwana ila wakiolewa wakizaa utapenda wananuka maziwa kama masai magauni yananuka moshi kama wachoma mkaa
Izo ni kampeni tu apate bwana ila wakiolewa wakizaa utapenda wananuka maziwa kama masai magauni yananuka moshi kama wachoma mkaa
Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,674 Reaction score 2,216 May 11, 2022 Thread starter #8 Depal said: Sasa wakiachika si wanarudi sokoni? Lazima wajisoup upyaaaa Click to expand... Wakishapata soko!
Depal said: Sasa wakiachika si wanarudi sokoni? Lazima wajisoup upyaaaa Click to expand... Wakishapata soko!
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 May 11, 2022 #9 Hii hali hotokea wengi hasa wakishazaa wanajikataa yani hawajipendi tena. Pia kuna wanawake wengine hawajipendi na ni wachafu wapowapo tu. Hii pia moja ya sababu ya wanaume kuchepuka.
Hii hali hotokea wengi hasa wakishazaa wanajikataa yani hawajipendi tena. Pia kuna wanawake wengine hawajipendi na ni wachafu wapowapo tu. Hii pia moja ya sababu ya wanaume kuchepuka.
Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,674 Reaction score 2,216 May 11, 2022 Thread starter #10 Donatila said: Hii hali hotokea wengi hasa wakishazaa wanajikataa yani hawajipendi tena. Pia kuna wanawake wengine hawajipendi na ni wachafu wapowapo tu. Hii pia moja ya sababu ya wanaume kuchepuka. Click to expand... Wakiachika wanalalamika,Hivi hawajui tunapishana na pisi kali Njiani.
Donatila said: Hii hali hotokea wengi hasa wakishazaa wanajikataa yani hawajipendi tena. Pia kuna wanawake wengine hawajipendi na ni wachafu wapowapo tu. Hii pia moja ya sababu ya wanaume kuchepuka. Click to expand... Wakiachika wanalalamika,Hivi hawajui tunapishana na pisi kali Njiani.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,116 May 11, 2022 #11 Donatila said: Hii hali hotokea wengi hasa wakishazaa wanajikataa yani hawajipendi tena. Pia kuna wanawake wengine hawajipendi na ni wachafu wapowapo tu. Hii pia moja ya sababu ya wanaume kuchepuka. Click to expand...
Donatila said: Hii hali hotokea wengi hasa wakishazaa wanajikataa yani hawajipendi tena. Pia kuna wanawake wengine hawajipendi na ni wachafu wapowapo tu. Hii pia moja ya sababu ya wanaume kuchepuka. Click to expand...
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,343 Reaction score 89,570 May 11, 2022 #12 Hii iwekwe kwenye katiba mpya aisee.
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,545 Reaction score 9,775 May 11, 2022 #13 Juma1967 said: View attachment 2220659 Click to expand... Maslay qeen wengi wa mjini hawavai chupi, ipo pisi moja kila nilikutana nayo hana chupi anasema yy anavaaga chupi akiwa period
Juma1967 said: View attachment 2220659 Click to expand... Maslay qeen wengi wa mjini hawavai chupi, ipo pisi moja kila nilikutana nayo hana chupi anasema yy anavaaga chupi akiwa period
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 May 11, 2022 #14 Mkiwaoa mkazoeana wanakuonyesha tabia halisi ya kila siku akiwa nyumbani kwao. Wengi mnawaona wakiwa nje wasafi full kutupia pamba kali
Mkiwaoa mkazoeana wanakuonyesha tabia halisi ya kila siku akiwa nyumbani kwao. Wengi mnawaona wakiwa nje wasafi full kutupia pamba kali
Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,674 Reaction score 2,216 May 11, 2022 Thread starter #15 Mad Max said: Hii iwekwe kwenye katiba mpya aisee. Click to expand... Kama ikiwapendeza waheshimiwa..
Mad Max said: Hii iwekwe kwenye katiba mpya aisee. Click to expand... Kama ikiwapendeza waheshimiwa..
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 May 11, 2022 #16 Mali safi better than before.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 May 11, 2022 #17 Hivi mlioa kupata game guarantee au mpka mtongoze na kumbembelezana sana kama vile wachumba
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 May 11, 2022 #18 Siku nyingine mke analala bila kuoga kasheshe muda wa kulala ndani ya shuka kutanuka shombo kama ya samaki si samaki kama vile mpo soko la ferry
Siku nyingine mke analala bila kuoga kasheshe muda wa kulala ndani ya shuka kutanuka shombo kama ya samaki si samaki kama vile mpo soko la ferry
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 May 11, 2022 #19 inamankusweke said: Mazvuzzi hawanyoi,hawaoshi k..wanatuchukulia poa Click to expand... inamankusweke Jana niliona mchango wako kwenye masuala ya dini ya kiislam nikajisemea, jamaa huyu Kama sio sheikh Basi atakua ustaadh au Imam wa mskiti Fulani. Kuumbe hayo hapo ndio lugha yako ya kawaida.
inamankusweke said: Mazvuzzi hawanyoi,hawaoshi k..wanatuchukulia poa Click to expand... inamankusweke Jana niliona mchango wako kwenye masuala ya dini ya kiislam nikajisemea, jamaa huyu Kama sio sheikh Basi atakua ustaadh au Imam wa mskiti Fulani. Kuumbe hayo hapo ndio lugha yako ya kawaida.
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 May 11, 2022 #20 Top leader said: Izo ni kampeni tu apate bwana ila wakiolewa wakizaa utapenda wananuka maziwa kama masai magauni yananuka moshi kama wachoma mkaa Click to expand... Mwanamke akinukia maziwa anatia hamasa sana, hata k inavutia ikiwa na kale kaharufu kake original kwa mbali.
Top leader said: Izo ni kampeni tu apate bwana ila wakiolewa wakizaa utapenda wananuka maziwa kama masai magauni yananuka moshi kama wachoma mkaa Click to expand... Mwanamke akinukia maziwa anatia hamasa sana, hata k inavutia ikiwa na kale kaharufu kake original kwa mbali.