Wananchi: Mdahalo umetufunza mengi

katika kipindi hiki ambapo bunge la katiba limerejea, nashauri serikali IPIGE MARUFUKU midahalo yote ya katiba. ikiruhusiwa ni kama kushusha hadhi ya bunge

Hiyo ni kauli ya WAPUMBAVU ni nafuu kuwa mjinga kuliko wewe mwenye mawazo na akili za KIPUMBAVU
 

HAKINA NCHI ILIPAMBAZUKA NA HISTORIA ILIBADILIKA KUTOKANA NA MDAHALO HUO. KILICHOFICHIKA KITAFULIWA TU KWA NGUVU ZA MUNGU. WATAWALA HAWAWEZI KUWAMINYA, KUWAKANDAMIZA NA KUWANYIMA UFAHAMU WANANCHI WOTE WAKATI WOTE..

My Take:
TUNAWAOMBA ITV NA IPP MEDIA WAJUE KUWA WANANCHI WAPO NYUMA YAO, WAANDAE KIPINDI MAALUM, WAURUSHE TENA (REPLAY) MDAHALO HUO KAMA ULIVYORUKA TAHEHE 4.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…