Magufuli kwa mabadiliko PLUS
Watu mnatengeneza maana zenu wenyewe. Mna dhani mabadiliko ni kuitoa ccm tu. Hata akishika magufuli nchi hii ataifanyia mabadiliko. Tena ni mabadiliko chanya - mazur
Ipende Tanzania. Chagua Magufuli
najua mnaogopa sana mabadiliko kwa kuwa mmewadhulumu watanzania
Magufuli kwa mabadiliko PLUS
Watu mnatengeneza maana zenu wenyewe. Mna dhani mabadiliko ni kuitoa ccm tu. Hata akishika magufuli nchi hii ataifanyia mabadiliko. Tena ni mabadiliko chanya - mazur
Ipende Tanzania. Chagua Magufuli
Kila mtu na akili zake anajua huyo mamvi anataka kwenda ikulu kupiga ufisadi, kulinda mafisad, kulinda mali zilizopatkana kifisadi na kufanya visasi.
Nani na akili zake timamu amchague mtu kama huyo?
Vote for positive change. Vote for Magufuli

Chadema imefanya kosa kubwa kumuachia Dr Slaa na Zitto. Tena kwa Dharau kubwa. Eti mmoja ni msaliti. Yaani usaliti ni kupingana na kiongozi mkuu wa chama? Wapi demokrasia? Lowasa kutoshindanishwa na wengine wataka urais katika ukawa! Wapi demokrasia?
Kwanin Zitto hakuruhusiwa agombee uenyekiti katika chadema halaf kura ziamue? Wapi usawa?
Katika hali hiyo unafikiri nani na akili zake atakuja chadema?
Atafanya nini huyo atakaye kuja zaid ya alichofanya Dr Slaa na Zitto ili msimwite msaliti na kumtoa kwa dharau?
Acheni ubinafsi, undugu. Jengeni chama cha kitaifa. Mtu kushika nafasi yoyote itegemee uwezo na kukubalika na huyo mtu kwa wanachama ndani ya chama na sio undugu au ukwe na mtei
Magufuli hana kampani ya majizi ya nchi hii. Chagua magufuli
Mkuu wanaoogopa mabadiliko ni wale wezi na mafisadi hata kama wako ccm. Sio mimi.
Na kwa taarifa yako siko chama chochote na sijawah kuwa chama chochote
Naogopa mabadiliko ya ovyo yasiyo kuwa na nyuma wala mbele ya watu ambao wala hawajajipanga na wala sio wasafi na ajenda yao kubwa ni kushika ikulu tu kwa namna na gharama yoyote. Hayo ndio mabadiliko ninayo yaogopa mimi.