ni sawa 0+0=0Shape lessssss haoooooo
Katika mwimbo wa crooked smile wa J.Cole aligusia kuhusu kutojipenda au kutojithamini kwa wasichana wanaodhani hawakidhi mahitaji ya urembo......ambao hupelekea kufanya MAAMUZI MAGUMU ya kisichana kila mara kama kubadilisha viungo vya mwili na kujinyima kula kabisa(Faddy Diets)kama kigezo cha kutaka ku-fit kwenye society standards.....ni vizuri kuchunga afya yako lakini si vyema ku-abuse mwili wako na kupoteza UHAI wa furaha yako....kama ni mfupi basi JIKUBALI...kama ni kimbaumbau....JIKUBALI na kama umejaaaliwa mwili....JIKUBALI!
mimi49 leo nimeshuhudia Washawasha ana kiri lol ....mimi na huyu jamaa tunawapenda sana ma miss Bantu ndio ulevi wetu,kwahiyo wala msihofu wanawake vibonge mjue ya kwamba tupo watu tunawapenda.Vibonge oyeee.
Nalog off
Alaaa mi najua kabla hata hajakiri maana vitendo vinaongea kuliko maandiko yale mapicha anayobandika asalaleh!!mimi49 leo nimeshuhudia Washawasha ana kiri lol ....
Hii ni kutoka moyoni kabisa,wanawake waliojazajaza nyama kama tinna cute, wananipa raha sana.mimi49 leo nimeshuhudia Washawasha ana kiri lol ....
Wananifurahisha sana moyoni mwangu warembo wa sampuli hii.Alaaa mi najua kabla hata hajakiri maana vitendo vinaongea kuliko maandiko yale mapicha anayobandika asalaleh!!
Ahsante kwa reputation comment!Hata mi pia naona wanaikonga sana nafsi yako!Wananifurahisha sana moyoni mwangu warembo wa sampuli hii.
Nalog off
usijali bi dada.Ahsante kwa reputation comment!Hata mi pia naona wanaikonga sana nafsi yako!
Hii ni kutoka moyoni kabisa,wanawake waliojazajaza nyama kama tinna cute, wananipa raha sana.
Nalog off
Kwa kuwa wanajua wao hawawezi kuwa kama wewe ila wewe ukiamua unaweza kuwa kama wao.Best bora yako we unaependa hizi sampuli maana wengine wanatuponda utadhani mahalamia.