Wanajaribu kuniacha ila wanashindwa

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,707
Reaction score
6,505
Eid mubaraka wanajamvi....

Iko ivi nina mademu watatu kila moja anaplay nafasi yake bila kujuana..

Shida inakuja kila mmoja anataka nimuoe au nimzalishe mi nawaambia muda bado na sijajipanga ivo akisubutu kushika mimba yangu ndio tiketi ya mahusiano yetu itaishia hapo... wanabaki kuumia nakushangaa mi ni mwanaume wa aina gani na kusema simpendi (kila mmoja ndio mtazamo wake)

Sasa ni mda wa ka wiki mbili ivi kila demu ananiambia anajaribu kuniacha lakini wanashindwA wakiona simu yangu tuu au namba yangu wanaishiwa nguvu na kujikuta ka mbwa mbele ya chatu mwenye njaa...

Sijajua hii ni ishara gani kwangu kwamba niachane nao mi mwenyewe tuu maana uwezo huo nnao au vip??

Swali kwa kinadada ni kweli unaweza ukawa na mtu akuhongi wala nini ukampenda kushindwa kumuacha au hawa ndugu zenu wanani ektia??
 
Shida inakuja kila mmoja anataka nimuoe au nimzalishe mi nawaambia muda bado na sijajipanga ivo akisubutu kushika mimba yangu ndio tiketi ya mahusiano yetu itaishia hapo
Mkuu,

Nakukumbusha kutumia Condom wakati wote.

Mimba ikishaingia kwa Mwanamke, inakuwa ni mali halali ya Serikali. Uamuzi wowote baada ya hapo utakuwa chini ya sheria.

Usije sema hatujakuambia.
Respect yourself, you deserve Better.
 
Mkuu,

Nakukumbusha kutumia Condom wakati wote.

Mimba ikishaingia kwa Mwanamke, inakuwa ni mali halali ya Serikali. Uamuzi wowote baada ya hapo utakuwa chini ya sheria.

Usije sema hatujakuambia.
Respect yourself, you deserve Better.
Nashkuru kwa tahadhari ila binafsi nipo allergic na ndomo so huwa nahesabu au withdraw methods....

Nikizidiwa namgongesha p2... nnachojua wanamatumaini ya kuelewa so nimewapa hiyo criteria ya kutokuazaa kabla ya ndoa so hua wanajitahidi wasini kwaze maana wananielewa misimamo yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…