Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Habari zenu wana Jf kuna nafasi za kazi 3 kutoka hii campun nayo fanya kazi, nilimwomba manager nafasi hizi tuzitangazie humu jf amekubali ndomana nmekuja hapa kwenu tusaidiane kwa kidogo kinachopatikana.
Tunahitaji watu wa finance, statistics & Project planning. Uwe na GPA ya (3.5+) na uwe na research skills.
SIFA ZINGINE
Hard worker, high discipline, Time management, ability to work with a minimum supervision and able to work in any environment provided.
-Pia lazima uwe na computer skills in ms word, excel,PowerPoint na kwa wale wa statistics na project planning uwe una uwezo wa kutumia statistical Analysis packages eg SPSS, STATA, R charts etc.
-Trainings zitatolewa kwa wale watakao fanikiwa kupata chance
-Safari zipo hasa za mikoani hvyo utalazimika kwenda inapobidi
Jinsi ya ku apply tutumie cv yako pamoja na cover letter bila kusahau salary requirement yako nicksonthabit@gmail.com
Application deadline is 27/06/2019, (up to 12pm). Only shortlisted candidates will be contacted.
NB: utapewa posho ya nauli kila wiki , lunch na free airtime kila mwezi. Kama una maswali uliza nitakujibu.
Address ya coverletter inaenda wapi???
Hapa mtapatikana wengiHabari zenu wana Jf kuna nafasi za kazi 3 kutoka hii campun nayo fanya kazi, nilimwomba manager nafasi hizi tuzitangazie humu jf amekubali ndomana nmekuja hapa kwenu tusaidiane kwa kidogo kinachopatikana.
Tunahitaji watu wa finance, statistics & Project planning. Uwe na GPA ya (3.5+) na uwe na research skills.
SIFA ZINGINE
Hard worker, high discipline, Time management, ability to work with a minimum supervision and able to work in any environment provided.
-Pia lazima uwe na computer skills in ms word, excel,PowerPoint na kwa wale wa statistics na project planning uwe una uwezo wa kutumia statistical Analysis packages eg SPSS, STATA, R charts etc.
-Trainings zitatolewa kwa wale watakao fanikiwa kupata chance
-Safari zipo hasa za mikoani hvyo utalazimika kwenda inapobidi
Jinsi ya ku apply tutumie cv yako pamoja na cover letter bila kusahau salary requirement yako nicksonthabit@gmail.com
Application deadline is 27/06/2019, (up to 12pm). Only shortlisted candidates will be contacted.
NB: utapewa posho ya nauli kila wiki , lunch na free airtime kila mwezi. Kama una maswali uliza nitakujibu.
Hapa sijakuelewa mkuu barua ya maombi ya kazi unaandikaje bila address?? Inakuwa ya kirafik au ?Andika cover letter bila adress
Naomba maelezo ya kutosha kidogo kuhusu jina NGO au ni taasisi gani mkoa gani
Hapa sijakuelewa mkuu barua ya maombi ya kazi unaandikaje bila address?? Inakuwa ya kirafik au ?
Level gani ya elimuSorry nilisahau ni Dar es salaam campun inadeal na investment,
Level gani ya elimu
MKUU POSITION INAKUAJE HIYO SIJAELEWA. MFANO MIMI NIMESOMA STATISTICS JE, NITAANDIKA POSITION GANI?Habari zenu wana Jf kuna nafasi za kazi 3 kutoka hii campun nayo fanya kazi, nilimwomba manager nafasi hizi tuzitangazie humu jf amekubali ndomana nmekuja hapa kwenu tusaidiane kwa kidogo kinachopatikana.
Tunahitaji watu wa finance, statistics & Project planning. Bachelor degree,Uwe na GPA ya (3.5+) na uwe na research skills.
SIFA ZINGINE
Hard worker, high discipline, Time management, ability to work with a minimum supervision and able to work in any environment provided.
-Pia lazima uwe na computer skills in ms word, excel,PowerPoint na kwa wale wa statistics na project planning uwe una uwezo wa kutumia statistical Analysis packages eg SPSS, STATA, R charts etc.
-Trainings zitatolewa kwa wale watakao fanikiwa kupata chance
-Safari zipo hasa za mikoani hvyo utalazimika kwenda inapobidi
Jinsi ya ku apply tutumie cv yako pamoja na cover letter bila kusahau salary requirement yako nicksonthabit@gmail.com
Adress(optional)
Manager hiring
P.o Box 43345
Dar es salaam
Application deadline is 27/06/2019, (up to 12pm). Only shortlisted candidates will be contacted.
NB: utapewa posho ya nauli kila wiki , lunch na free airtime kila mwezi. Kama una maswali uliza nitakujibu.
Job location-Dar es Salaam
MaaninaSorry nilisahau ni Dar es salaam campun inadeal na investment,
Kabisa watu watapigwa pesa sana hapa,watu wa "Ile pesa tuma kwenye namba hii" wana BWINU MBWINU mpya kila siku.Hapa mtapatikana wengi
Hivi Kuna kampuni ambayo haifanyi Investment?Sorry nilisahau ni Dar es salaam campun inadeal na investment,