Raymond Chanzi Member Joined Oct 18, 2015 Posts 12 Reaction score 3 Apr 18, 2017 #1 Tunahitaji wahudumu wa lodge bila kujali jinsia, umri usiozidi miaka 26, awe msafi, mwenye lugha nzuri kwa wateja, mwenye kujua kusoma na kuandika. Lodge ipo maeneo ya airport (karakata). Kwa mawasiliano zaidi tumia namba; 0692778072
Tunahitaji wahudumu wa lodge bila kujali jinsia, umri usiozidi miaka 26, awe msafi, mwenye lugha nzuri kwa wateja, mwenye kujua kusoma na kuandika. Lodge ipo maeneo ya airport (karakata). Kwa mawasiliano zaidi tumia namba; 0692778072
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,232 Apr 18, 2017 #4 Vijana Changamkieni Fursa
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Apr 18, 2017 #6 hoter.one5 said: vitengo vipi? Click to expand... DjpM said: Vitengo gani? Click to expand... kufua mashuka
hoter.one5 said: vitengo vipi? Click to expand... DjpM said: Vitengo gani? Click to expand... kufua mashuka
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 Apr 18, 2017 #7 PNC 1 said: kufua mashuka Click to expand... kama wanatumia mashine labda maana hayo mashuka huwa yana kuwa *capiteined* sana
PNC 1 said: kufua mashuka Click to expand... kama wanatumia mashine labda maana hayo mashuka huwa yana kuwa *capiteined* sana