YoungAge.org
Member
- Aug 10, 2012
- 46
- 12
Kama nakuona vile ukikagua vitambulisho vya machangu pale kona bar.
sio kila lisemwalo lipo, mengine ni uzushi tuiyo hata mimi nimeisikia labda ni kweli!
Nimeipenda hii....lol
Mkichangia naombeni saaaaaaana msinitukane. Niko allergic na matusi wapendwa wangu wa JF.
wewe huwa unakagua vitambulisho eeeh kijana karibu MOSHI hapa MUCCOBS uone sasa ikifika usiku nenda maeneo yao ya kujirusha ndio utajua tena nenda na mwenyeji anaewajua hata baadhi,ni vigumu sana kujua wanachuo wote xo post yako naona ni kama ya kubuni vile,then usifikirie kila utakachoandika hata kama hakina uthibitisho utatukanwa no karibu sana JF kijana ila kuwa makini na tetea zako
iyo hata mimi nimeisikia labda ni kweli!
We unasema nini ? Acha kudanganya wananchi wa jf . Hamna madem wanatabia chafu kama WALIOPO vyuoNI . Mimi mwenyewe ni kiwa na kiu nashuka uhasibu arusha .
Kijana naona umeamua kutuma post ambayo ipo kimtegomtego ili watu wakuthibitishie wanakopatikana machangu wa vyuoni ukanunue. Angalia sana usije ukawa addicted na professional changudoa's wasomi ukaja umbuka. Wale wapo na wataendelea kuwepo kutokana na mfumo wetu mbovu wa kutoa mikopo.
Wanafunzi baadhi wakike wanaingia kwenye mkondo huu si kwa kupenda, basi kutokana na ukata unaosababishwa na either kucheleweshewa pesa za mikopo au vi% vya mikopo.
Sema professional changuz kutoka vyuoni huwa hawajipangi barabarani kama hawa wengine wajane wengine. Wao huweka mitego yao sehemu zenye hadhi kidogo, kisha hununua soda au maji na kuinywa hata masaa 10 huku pozi fake zikiwa nyingi. Mwanaume mkware ukiingia unanunulia yeye bia stori zinaendelea, unamuuliza maswali kimitego then unagundua anatokea chuo gani na faculty ipi. Wengi wao wanafanya course laini laini za social science.....halafu wanakuwa ni warembo. Wengine wale mafundi mchundo (those doing Engineering courses ) huwa hawana mvuto kwa hiyo attention yao inakuwa kwenye masomo zaidi.
Angalia sana kuanzia ijumaa jinsi wanafunzi wa kike vyuoni wanavyojipamba kwenda kutumika kwenye night clubs mbalimbali. Mifano ipo mingi na hai: mabinti wa IFM, CBE, UDSM, vyuo vya uchochoroni etc
Anyway niishie hapa maana nina mengi ya ku-share ila sina muda! Mwisho kabisa jiulize tupo wangapi?
we unasema nini ? Acha kudanganya wananchi wa jf . Hamna madem wanatabia chafu kama waliopo vyuoni . Mimi mwenyewe ni kiwa na kiu nashuka uhasibu arusha .
Niombe radhi kwa kunituhumu mnunuzi wa changudoa.
Kaka sijakutuhumu wewe ni mnunuzi, nimetoa tahadhari kuhusiana na dhamira yako ya post kama hii isijekuwa lengo ni kupata habari sehemu wanazopatikana ili uende kuopoa mzigo!Anyway post yako imenipa maswali kadhaa
[*]Unaposema kinachosababisha ni % ya mkopo, kwani changudoa wote wana dhiki ya pesa?Si wote, lakini key point hapa ni machangudoa kutoka vyuoni. Na hivyo tunaangalia motive ni ipi kwao kuendesha hii biashara ingali wapo masomoni? Ndo hapo utaona ukata wa pesa ya kujikimu unachangia kwa zaidi ya asilimia 97 naweza kusema.
[*]Mwanadada kujua chuo fulani, faculty na hata course; huu ndio uthibitisho kuwa anasoma?- hiyo ni primary test, huwezi weka kila kitu hapa. Lakini nakushauri uingie field kikwelii utathibitisha ya kwamba machangudoa wanafunzi wapo. Angalizo tu usije kunogewa na huduma wanazouzia kila mtu tusikupoteze.
[*]Una hakika hakuna mainjinia warembo?- mainjinia warembo wapo sana tu ila kwa uchache. Si unajua masomo yenyewe magumu na yanahitaji concentration? Sasa warembo wangapi wapo tayari kukesha anasoma mkitabu wa structural engineering huku wenzie wanakula bata na Sugar daddies wa BOT pale juu Savannah Lounge au Serena Hotel?
[*]Mabinti wa vyuo kwenda night club ndio kujiuza?- si wote waendao night clubs wanaenda kujiuza! Point yangu ni kwamba kuna wachache wao wanakwenda night clubs na kumbi mbalimbazi za starehe nyakati za usiku purposely kwa ajili ya kufanya biashara ya ngono!nitashukuru kama utapata muda wa ku-share zaidi. Swali lako la mwisho gumu kulijibu kwa sababu unaweza ukadhani uko peke yako kumbe mwenzi wako ana kijiji!
sasa hapo wao ndio wanajiuza au wewe ndio unajiuza?