Ndengaiii Member Joined Apr 12, 2023 Posts 33 Reaction score 15 May 28, 2023 #1 Samahani jamani iv zile posti za shule na chuo kwa wanafunzi wa kidato cha nne zinatoka lini wapendwa naomba mnisaidie Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Samahani jamani iv zile posti za shule na chuo kwa wanafunzi wa kidato cha nne zinatoka lini wapendwa naomba mnisaidie Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,302 May 28, 2023 #2 Ndengaiii vumilia mwanangu zitatoka kabla ya 15/6/2023
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,166 Reaction score 3,259 May 29, 2023 #3 Subiri kwanza wamalize kusaisha na mitihani ya marudio kwanza
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,696 Reaction score 15,430 May 30, 2023 #4 Ndengaiii said: Samahani jamani iv zile posti za shule na chuo kwa wanafunzi wa kidato cha nne zinatoka lini wapendwa naomba mnisaidie Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app Click to expand... Subiri wewe kijana.
Ndengaiii said: Samahani jamani iv zile posti za shule na chuo kwa wanafunzi wa kidato cha nne zinatoka lini wapendwa naomba mnisaidie Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app Click to expand... Subiri wewe kijana.
mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,061 Reaction score 4,848 May 30, 2023 #5 Wiki hii zitatoka stay tuned...
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,276 Reaction score 3,663 May 31, 2023 #6 tembelea tu website ya tamisemi mara kwa mara usijali utapangwa tu mdogo wangu ila ni mwezi wa 6 huu mwanzoni
tembelea tu website ya tamisemi mara kwa mara usijali utapangwa tu mdogo wangu ila ni mwezi wa 6 huu mwanzoni
Ndengaiii Member Joined Apr 12, 2023 Posts 33 Reaction score 15 Jun 4, 2023 Thread starter #7 Urban Edmund said: tembelea tu website ya tamisemi mara kwa mara usijali utapangwa tu mdogo wangu ila ni mwezi wa 6 huu mwanzoni Click to expand... Sawa asante sio yangu ni mdogo angu ambae amemaliza mwaka jana Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Urban Edmund said: tembelea tu website ya tamisemi mara kwa mara usijali utapangwa tu mdogo wangu ila ni mwezi wa 6 huu mwanzoni Click to expand... Sawa asante sio yangu ni mdogo angu ambae amemaliza mwaka jana Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,276 Reaction score 3,663 Jun 5, 2023 #8 Voice of Tanzania said: Subiri kwanza wamalize kusaisha na mitihani ya marudio kwanza Click to expand... wamesahisha na matokeo yametoka
Voice of Tanzania said: Subiri kwanza wamalize kusaisha na mitihani ya marudio kwanza Click to expand... wamesahisha na matokeo yametoka
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,166 Reaction score 3,259 Jun 5, 2023 #9 Urban Edmund said: wamesahisha na matokeo yametoka Click to expand... Yametoka tarehe 2 Ya mwezi wa 6 comment yangu ya mdah kabla ya mwezi wa 6 hapo Sasa watatoa post soon
Urban Edmund said: wamesahisha na matokeo yametoka Click to expand... Yametoka tarehe 2 Ya mwezi wa 6 comment yangu ya mdah kabla ya mwezi wa 6 hapo Sasa watatoa post soon
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,166 Reaction score 3,259 Jun 5, 2023 #10 Uwenda zikatoka Leo lakini
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,276 Reaction score 3,663 Jun 6, 2023 #11 kwani bado ? zikitoka nitag mkuu