Wanafunzi wa Shule Za Olympio, Upanga, Zanaki , Oysterbay Primary hili Tangazo ni kama haliwahusu. Wao wansoma mpaka jumapili, unakuta mtoto wa kike saa kumi usiku yupo anaenda shule ya upanga kutoka Chamazi.
Hawa walimu wapo juu ya sheria, na kama hamuamini, fuatilieni hata kesho.
Hizo shule walimu wakuu wake ni kama miunguwatu wana sheria zao ambazo haziingiliwi na yeyote,mfano pale Olympio au Diamond mwalimu mkuu ni lazima umpe laki tatu hilu mwanao apate nafasi ya kuandikishwa darasa la kwanza