NEW NOEL JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 863 Reaction score 409 Sep 30, 2012 #1 haya jamani wadau mtazame
W wampinda Member Joined Sep 4, 2012 Posts 11 Reaction score 4 Sep 30, 2012 #2 vijijini mbona kawaida!
Xuma JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 683 Reaction score 196 Sep 30, 2012 #3 wampinda said: vijijini mbona kawaida! Click to expand... Kweli kabisa mi nakumbuka nilikuwa nawaona wababa wengi wakiwabeba watoto wao toka niko chekechea kule kijijini kwetu!
wampinda said: vijijini mbona kawaida! Click to expand... Kweli kabisa mi nakumbuka nilikuwa nawaona wababa wengi wakiwabeba watoto wao toka niko chekechea kule kijijini kwetu!
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,941 Sep 30, 2012 #4 Iko mbaya gani kumbeba mwanao?
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Sep 30, 2012 #5 Bulesi said: Iko mbaya gani kumbeba mwanao? Click to expand... Hakuna mkuu. Ni mapenzi tu.
M Mrdash1 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 339 Sep 30, 2012 #6 Xuma said: Kweli kabisa mi nakumbuka nilikuwa nawaona wababa wengi wakiwabeba watoto wao toka niko chekechea kule kijijini kwetu! Click to expand... Kweli kabisa lakini style ya ubebaji ni tofauti, wababa wana wakalisha watoto mabegani na kuwashika mikono juu kwa juu au wakati mwingine watoto hujishikiza kwenye vichwa vya baba zao
Xuma said: Kweli kabisa mi nakumbuka nilikuwa nawaona wababa wengi wakiwabeba watoto wao toka niko chekechea kule kijijini kwetu! Click to expand... Kweli kabisa lakini style ya ubebaji ni tofauti, wababa wana wakalisha watoto mabegani na kuwashika mikono juu kwa juu au wakati mwingine watoto hujishikiza kwenye vichwa vya baba zao