Wanachama wapenzi wa Upinzani Tukutane BAGAMOYO Usiku wa Mwaka Mpya

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,674
71,036
Wakuu kama Heading inavyoeleza wapenda mageuz iwote tukutane kuanzia Asubuhi majira ya saa 4

CHADEMA,ACT WAZALENDO,CUF kutoka Visiwani tunawategemea kufika

Msivae Uniform za vyama ila tutajuana kwa Signal tu
Viongozi na wanaharakati wote mtakaokuwa maeneo ya Pwani FATMA KARUME FREDY LOWASSA HALIMA MDEE MAALIM SEIF SHARIFF GENERALI ULIMWENGU NASSARY MHE ZITTO KABWE MNYIKA IKIWEZEKANA NNAPE NNAUYE BASHE
Huko Mikoani Kila mkoa mchague sehemu maalum kimya kimya tu.
Tanzania flag-XXL-anim.gif

Mungu ibariki Tanzania!!
 
Yaani mnafaitana wapinzani halfu mnamualika napelepwe na bashe!
Acha tu mpelekeshwe hampo serious
 
Back
Top Bottom