Chunguza kwanza pengine kunakitu.Amekwambia hicho Chama kingine kinaitwaje?? M/kiti wako alikwambia uwe na akili za Mbayuwayu sio kila unaloambiwa unalimeza zimazima. Ugeni wa jukwaa unakusumbua pia sio kosa lako. Hili ni jukwaa la great thinker
2015 utaendelea na CCM au ni kundi linaloachia ngazi na JK?Chadema ni ubabe tu hakuna vikao vya mijadala na mwafaka wa pamoja ila slaa au mbowe akiamua ndani ya chadema anamfukuza mtu yeyote bila ya kikao.
Chadema ni ubabe tu hakuna vikao vya mijadala na mwafaka wa pamoja ila slaa au mbowe akiamua ndani ya chadema anamfukuza mtu yeyote bila ya kikao.