TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Yeriko Amekuwa busy kutumia multiple id kuleta na kuchangia mada,jumamosi aliumbuka baada ya kusahau kuhama id, akajikuta analeta thread,akamsifu mtoa mada, kisha anajiomba contact hapo nikathibitisha madhara ya bange na gongo kwa bavicha wengi
Huu ni wakati wa kujenga chama sio kujenga Majengo ya chama. Hebu fuatilia historia ya TANU tangu mwaka 1954 ilikuwa haina jengo la maana zaidi ya kijengo kidogo pale Lumumba na kipo mpaka leo kama hakijabomolewa. Haya majengo mengine tumeyajenga sisi wananchi baada ya UHURU kwa kulazimishwa kuchanga na kukatwa fedha zetu kwenye mazao tuliokuwa tunauza. UHURU kwanza kutokana na kujenga chama mjengo baadae kwani usipokuwa na jengo lako hakukuzuui kujenga chama kama wewe ulie kwenye nyumba ya kupanga lakini umefanya maendeleo kibaao.
Mkuu wangu unanipasua mbavu huyu mpiga ripu ndiyo anailinda Chadema.Kale kajamaa sijui kama matatizo gani aisee anatafuta umaarufu kwa nguvu...
chadema inauliwa na watu aina ya Yericko Nyerere
Mkuu wangu unanipasua mbavu huyu mpiga ripu ndiyo anailinda Chadema.
Ni aibu kwa vijana wa kizazi hiki kipya kutumia mambo au changamoto zilizopita kujibia hoja zinazohusu changamoto za karne hii.Ukweli ni kwamba Chadema tunahitaji ofisi za Makao makuu zenye hadhi inayoendana na umaarufu wa Chama chetu.Ebu tuwe wakweli jamani lile jengo ni aibu kubwa kumilikiwa na Chama kinachotaka kuchukua madaraka ya nchi na wala tusikimbilie kulinganisha historia ya TANU kwa sote tunajua TANU ya wakati ule na CHADEMA havifanani.
hela za sabodo zilizotolewa kujenga makao makuu ya chama, mbowe na slaa wameshazila
hayo unayo yawaza waliwaza kina mrema.mapalala,lipumba,seif babu slaa kitambo sana na bado wamesanda utakuwa wewe mchovu mwenye id fake tena jf
Huu ni wakati wa kujenga chama sio kujenga Majengo ya chama. Hebu fuatilia historia ya TANU tangu mwaka 1954 ilikuwa haina jengo la maana zaidi ya kijengo kidogo pale Lumumba na kipo mpaka leo kama hakijabomolewa. Haya majengo mengine tumeyajenga sisi wananchi baada ya UHURU kwa kulazimishwa kuchanga na kukatwa fedha zetu kwenye mazao tuliokuwa tunauza. UHURU kwanza kutokana na kujenga chama mjengo baadae kwani usipokuwa na jengo lako hakukuzuui kujenga chama kama wewe ulie kwenye nyumba ya kupanga lakini umefanya maendeleo kibaao.
Yeriko Amekuwa busy kutumia multiple id kuleta na kuchangia mada,jumamosi aliumbuka baada ya kusahau kuhama id, akajikuta analeta thread,akamsifu mtoa mada, kisha anajiomba contact hapo nikathibitisha madhara ya bange na gongo kwa bavicha wengi
Mkuu wangu unanipasua mbavu huyu mpiga ripu ndiyo anailinda Chadema.
Mleta mada karibia naye ataitwa msaliti, anaanza kuchokonoa ujenzi wa Makao makuu?
Weka ushahidi hapa jinsi zilivyoliwa vinginevyo tukuvalishe kangahela za sabodo zilizotolewa kujenga makao makuu ya chama, mbowe na slaa wameshazila