hapana bwana master key ni ufunguo ambao ni maalumubkwa ajili yaa sehemu fulan na fungua ambayo si Kila mtu anayo Kama nI nyumban bas baba ndio anakua Nao sana
Hivi chenye nguvu kwa mwenzake ni kipi, kufuli au funguo? na kwa upekee wake ni kipi chenye nguvu? Basi Boss is always right. if you think he is not, remember he is never wrong. lakini wewe unafikiri He is always right? (unachofikiri sasa baada ya hilo swalindiko jibu liliko) ukisema yuko sawa wakati wote, SAWA, Ukisema hayupo sawa wakai wote SAWA PIA. ukisema both, Uko SAWA pia.