The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Aina gani mkuu?......je hakuna cd kwenye Cd diver.....?
Ok......hapo ni vumbi tu mkuu....isafishe kwa kutumia Blower{kupuliza} hasa kwenye feni.......inaonekana Prosesa imejaa vumbi au kuna waya unagusa feni na hatimae prosesa kupata moto zaidi........halafu njoo tena kwa kama shida ipo mura....Ni COMPAQ hakuna cd kwenye disk.
Ok......hapo ni vumbi tu mkuu....isafishe kwa kutumia Blower{kupuliza} hasa kwenye feni.......inaonekana Prosesa imejaa vumbi au kuna waya unagusa feni na hatimae prosesa kupata moto zaidi........halafu njoo tena kwa kama shida ipo mura....
nakusubiri.....ukiwasha mashine yako check kama feni inafanya kazi...Mkuu nimetumia mashine ya kufyonza vumbi ila bado, ngoja nijaribu tena.
nakusubiri.....ukiwasha mashine yako check kama feni inafanya kazi...
Tatizo ni RAM. Zichomoe safisha then rudisha moja moja. Yenye tatizo utaijua tu.
Sikiliza Mkuu inaonekana hiyo machine yako iliwahi funguliwa au vinginevyo.........lakini cha muhimu hapo kama feni inafanya kazi vizuri asikudanganye ni PROCESSOR inapata moto isivyo kawaida hivyo heatsink haligusi processor, au haipo kabisa.....iweke vizuri na hakikisha sensor ya joto imekaa vizuri...........samahani kwa kutokujibu mapema nahangaika na maisha mkuu...then njoo for mrejesho..............Feni inafanya kazi.