Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,318 Jul 31, 2022 #1 Jana tulikuwa hapa mkoani Manyara kwenye kongamano la katiba. Tumepata mwitikio mkubwa sana kutoka kwa wana Manyara na hili ni thibitisho kuwa watanzania wanahitaji katiba mpya. Pili inaonyesha kuwa bado watu wana mapenzi makubwa na siasa za upinzani hasa kwa chama chao CHADEMA. Watanzania tuiunge mkono CHADEMA ili watuvushe ili kuipata katiba hitajika. Your browser is not able to display this video.
Jana tulikuwa hapa mkoani Manyara kwenye kongamano la katiba. Tumepata mwitikio mkubwa sana kutoka kwa wana Manyara na hili ni thibitisho kuwa watanzania wanahitaji katiba mpya. Pili inaonyesha kuwa bado watu wana mapenzi makubwa na siasa za upinzani hasa kwa chama chao CHADEMA. Watanzania tuiunge mkono CHADEMA ili watuvushe ili kuipata katiba hitajika. Your browser is not able to display this video.
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,840 Reaction score 38,930 Jul 31, 2022 #2 Masikini! Nmekuonea huruma!
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,791 Reaction score 34,792 Jul 31, 2022 #3 Siku nikiwa Raisi nitakivunjavunja hiko chama ndani ya siku 3. Muda utasema
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,791 Reaction score 34,792 Jul 31, 2022 #4 Crimea said: Masikini! Nmekuonea huruma! Click to expand... Wenzake wanamtegemea. Huyu ndio anabeba hirizi za chama
Crimea said: Masikini! Nmekuonea huruma! Click to expand... Wenzake wanamtegemea. Huyu ndio anabeba hirizi za chama
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,318 Aug 1, 2022 Thread starter #5 Crimea said: Masikini! Nmekuonea huruma! Click to expand... Sukuma gang mtajinyonga safari hii maana mjomba wenu hayupo
Crimea said: Masikini! Nmekuonea huruma! Click to expand... Sukuma gang mtajinyonga safari hii maana mjomba wenu hayupo
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,318 Aug 1, 2022 Thread starter #6 Countrywide said: Wenzake wanamtegemea. Huyu ndio anabeba hirizi za chama Click to expand... Kama wewe ulivyokuwa unabeeba hirizi ya jiwe lkn mwisho wake leo hii siyo jiwe tena
Countrywide said: Wenzake wanamtegemea. Huyu ndio anabeba hirizi za chama Click to expand... Kama wewe ulivyokuwa unabeeba hirizi ya jiwe lkn mwisho wake leo hii siyo jiwe tena