Jamani kuna wana ccm wanaeneza chuki ambayo mm nasema tusipo simama kama chama nakuonyana kwenye milango ya vyumba vya ndani itatusumbua sana kama chama huko tuendako. Nilazima tujuwe rais anasehem yake wakati wasaidiz wanasehem yao.
Chuki huleta hasira, chuki huleta uchungu, chuki huleta vita. Wapo watu wachache sana wanaleta chuki na kumfanya Rais aonekane kama sio kitu na yeye ndie mfadhili wa chuki. Mm nakataa nakataa tena kwa herufi kubwa.
Ccm ni chama mama embu tuwe mfano. Tiss mulika mangi meza viongozi.
Mimi namshauri huyu mungu wa Tz awaweke ndani wapinzani wote abaki na misukule yake yote ya 'ndiyooo' waendelee kudanganyanaCCM wakimuona mpinzani wanamtamani hata wamuue tu kwasababu amekosoa au ameshauri serikali.
Post sent using JamiiForums mobile app
Lakini si huyu TumainiEl , huyu analo andiko humu likihamasisha wapinzani wamalizwe , leo anastuka nini tena ?Haya mambo yanayofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 ya kuleta mpasuko kwenye Taifa letu naamini wanaccm wengi wako against nalo.
Nasema wanaccm wengi hawaridhiki nayo kwa kuwa kama Taifa tuliopokea urithi toka kwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ya kuwa na Taifa, lenye Umoja na kisilo na ubaguzi wowote wa itikadi za dini, ukabila wala itikadi za kisiasa.
Kwa hiyo haya mambo yanayofanyika na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kutumia vyombo vyake vya dola kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani havifanyi shughuli zake za kisiasa, ni jambo la hatari sana na linapaswa kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wanaopenda kuliona Taifa hili haliingii kwenye Machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.
Mimi namshauri huyu mungu wa Tz awaweke ndani wapinzani wote abaki na misukule yake yote ya 'ndiyooo' waendelee kudanganyanaCCM wakimuona mpinzani wanamtamani hata wamuue tu kwasababu amekosoa au ameshauri serikali.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mimi namshauri huyu mungu wa Tz awaweke ndani wapinzani wote abaki na misukule yake yote ya 'ndiyooo' waendelee kudanganyanyaCCM wakimuona mpinzani wanamtamani hata wamuue tu kwasababu amekosoa au ameshauri serikali.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kama wanaoshabikia upinzani hawatakiwi hapa Tz tena wakiwa hai, sasa Leo hii akifa huyu wa CCM lazima watu wafanye sherehe tena kubwa haswa.Nimepitia comments za Facebook page ya gazeti la Mwananchi kuhusu habari ya kifo cha mke wa Mwakyembe,
Watu vifua vyao vimejaa chuki sana. Serikali iji tathmini la sivyo siku viongozi fulani fulani wakipotea duniani kutakuwa na furaha, shangwe na nderemo