inaelekea makomandoo wanajiandaa waingie kumaliza kazi ya kuokoa mateka,end game.
Janga kubwa la kushambuliwa westgate mall limewakumba wenzetu wakenya jana.Hadi sasa kuna mateka ghorofa ya tatu na ya nne na watu zaidi ya arobaini wameuawa. Wana cc naomba tuchukue muda mchache,masikhara tuweke pembeni tuwaombee wahanga wa tukio hili Mungu awapumzishe mahali pema peponi,waliojeruhiwa wapone haraka na waliotekwa waachiwe salama,let it be a sombre moment angalau kwa sekunde chache wenzangu wana chitchat.
Kwa unyenyekevu mkubwa,
Bishanga Abashaija.
PS: kama uko twitter unaweza kutuma pole zako kupitia hashtag #WeAreOne

hunashindwa kujipa pole wewe mwenyewe mkimbizi mmalawi usiye na kibali hapa tanzania unawapa pole wengine
yanakuhusuuuuuuu
?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!