kwanza tu-deal na mtoa rushwa 'kabambe' ( mo dewji) kabla ya kuwasambaratisha waamuzi, ma-linesman na makamisaa, yaani refa anawekewa 'mpunga mnene' mezani ili aipendelee simba wakati familia yake imelala njaa unadhani ataukataaa mpunga? kwanza tuung'oe mzizi ( mo dewji) na bahati mbaya sana TAKUKURU bado wameuchapa usingizi au wanajifanya 'hawaoni' yanayoendelea……………………… yaani mechi ya dak90 inachezwa dak120 adi tim pinzan ifungwe tena gali la offside ndiyo mechi inaishaa, alooooo hataree kweli kweli