Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,427
- 7,945
Hivi si alikuwa anaishia kwenye mashavu tu bingwa?Penzi lililojipatia umaarufu mkubwa mitandaoni kati ya msanii Grand P na mwanadada mwenye shepu ya aina yake "Eudoxie" limefika tamati.
Eudoxie ametangaza kuwa
wameshindwana, huku sababu ikidaiwa ni tabia ya Grand P kupenda kuchepuka na kinadada wengine hali ambayo imekuwa ikimnyima raha Eudoxie na sasa kuamua kuachia ngazi kwa jamaa huyo. Hii imezid kuwa kichekesho zaidi hasa ukizngatia Grand P alivo unajiuliza alikuwa anachepuka kutafuta ninii?
View attachment 1870908
Wadada wanafuata nguvu za kiume tuUnashangaa jamaa kuchepuka?Wakati jamaa ni superstar?
Wadada wanamfuata wenyewe waone yaliyomo yamo
Na keshatangaza kifaa kipya
Hata mimi sijawahi kusikia.Duh kweli kuna vitu vingi watu hatuviffahamu. Mimi sijawahi kuwasikia hawa watu. Wapo Tanzania?