Basi warudi ArushaHao mabodaboda waje kwetu arusha watakiona chamtema kuni
Hiyo sio dalili nzuri kwa taifa linalohubiri amani kila uchao.
Watatakiwa kuvaa kapelo na malapa.
Mtoa mada baadala ya wanted weka un-wanted
Hata mimi nilitaka kuwahi Moro ili niipate hiyo kazi ya ulinzi. Kumbe ningelikatwa kichwa na Bodaboda.Naunga mkono.
Mwanzo nilifikiri wanahitajika kwa kazi za ulinzi.