Next time usimdharau usiyemjua. Si vizuri.mpumbavu mmoja mmasai
Kwa kweli nilipata hasira ambayo zingekuwa converted to energy zingeweza kuingizwa kwenye gridi ya taifa.
Hajui kama kipara ni heshima!!!!!!kipara chako cha aina gani mkuu ??
Hajui kama kipara ni heshima!!!!!!kipara chako cha aina gani mkuu ??
Kwani kuna vya aina ngapi mkuu