M makavu Member Joined Dec 10, 2012 Posts 13 Reaction score 4 Feb 19, 2013 #1 hello.hivi kwanini utakuta mama amezaa watoto kma wanne hvi, afu ktk hao mmoja wao anamuogopa.(mwanaume)hta hawez kumwambia ladba amsaidie ki2 fulan mpk smtms apitie/amwambie kwa mke wa mtoto wake hyo.je ni kwa nini hutokea hvyo smtms?
hello.hivi kwanini utakuta mama amezaa watoto kma wanne hvi, afu ktk hao mmoja wao anamuogopa.(mwanaume)hta hawez kumwambia ladba amsaidie ki2 fulan mpk smtms apitie/amwambie kwa mke wa mtoto wake hyo.je ni kwa nini hutokea hvyo smtms?