Wamama acheni kuuza mabinti

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Nimekutana na hii wana JF nikaona bora niilete kwenu nipate nasaha.

Kuna mdada mmoja nilikua nafahamiana naye kitambo about 8 years ago, aliwahi kuzaa akiwa mdogo(18years)
Wiki iliyopita nilikutana naye sehemu tukaongea na akaniomba namba yangu nikampa.
Majuzi kanipigia simu akaniambia jambo limenishtua.
Mama: Lini utamuona binti yangu
Boflo: Amekua?
Mama:Kishakua mkubwa, mrefu, anavutia, ukimuona hutaamini.
Boflo: Watoto wanakua haraka sana.
Mama: Ukimuona lazima utampenda kama utakua nyumbani kwako au sehemu faragha niambie nitamleta.
Boflo: Sawa, nitakujulisha nikiwa free.


Nimeduwaa, sijui la kufanya,
Nikutane naye ama.
 
Boflo kwani faragha ungemfanya nini huyo binti ?
 
Last edited by a moderator:
nenda umuone Boflo ukamuone....
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni kama dota wako, Ukimtamani/Ukimgusa utapoteza RIZIKI, KAZI, HESHIMA maishani mwako @Boflo

chuua nasiha hii bure !!
 
Boflo itakuwa vizuri umsaidie Mama au Binti apate Mume Mwema au aolewe na mwenye rika lake...hapo utakuwa umejenga TAIFA na udugu ktk. maisha yako.... Kuwa mtu wakujitolea na kusaidia !! (japo mama wa binti ni mbululu Don't take advantage) Blessings
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
HARUFU
Nimesikiza True 100% thanx mkuu
 
Last edited by a moderator:
Atafanya kila mbinu mpaka umgegede binti yake, ukishagegeda kitakachofuata nafikiri jibu unalo
Umenishtua....maana ameshikilia sana amlete kwangu
 
Ishara zote nimeziona kwa mama...
anaweza kuja na binti yake amemvisha kimitego...
na fisi kama mimi huwa sifanyi ajizi...ask Nyani Ngabu

Mkuu hata mama yake ameona ulivyo fisi akaona akuletee nyama. Huoni umerahisishiwa mzigo mkuu badala ya kusaka mwenyewe mapolini umeletewa nyumbani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…