Mbona povu linakutoka, Kwani tuliomba kuahidiwa au wenyewe ndio waliahidi mbona kuwasemea na kuumia moyo?Jionee aibu
Wangekupatia hata asilimia ndogo ya hiyo pesa wewe.. si bado ungenunua kitambulisho kama upo kwa hayo. Kwanini mnapenda kuwa hasi sana.. jilaumu mwenyewe na acha uvivu. Maendeleo yataletwa na nyie wenyewe huko mlipo.. kumbuka pia Serikali inafanya mengi huko huko. Bora hadi sasa pesa zinavyotumika tunaziona.. sio mpewe muanze kulalamika kwa kukosa akili za hata kujiendeleza, kuweni na mawazo chanya ili mjipaishe. Kila mtu na mzigo wake mwisho wa siku. Usipofanya kazi na husile..
Hivi hawa wafanya kazi wangu ni vibarua/ wafanyakazi/waajiriwa au wajasiriamali? Maana naona unachanganya madaKile kitambulisho kimeandikwa "KITAMBULISHO CHA MJASILIAMALI MDOGO" Hivo kila mjasiliamali lazima awe nacho! Hivi unafanya biashara gani mpaka elfu 20 iwe nyingi kwako kwa mwaka?
Kwani tuliomba kuahidiwa au wenyewe ndio waliahidi mbona kuwasemea na kuumia moyo?
Kwani tuliomba kuahidiwa au wenyewe ndio waliahidi mbona kuwasemea na kuumia moyo?
Wewe unastahili kulipwa kwa kazi yako yakupigania ujinga uliopo.Jionee aibu
Wangekupatia hata asilimia ndogo ya hiyo pesa wewe.. si bado ungenunua kitambulisho kama upo kwa hayo. Kwanini mnapenda kuwa hasi sana.. jilaumu mwenyewe na acha uvivu. Maendeleo yataletwa na nyie wenyewe huko mlipo.. kumbuka pia Serikali inafanya mengi huko huko. Bora hadi sasa pesa zinavyotumika tunaziona.. sio mpewe muanze kulalamika kwa kukosa akili za hata kujiendeleza, kuweni na mawazo chanya ili mjipaishe. Kila mtu na mzigo wake mwisho wa siku. Usipofanya kazi na husile..
Nadhani ni sisi Watanzania ndio tulishindwa kabisa kumuelewa alipokuwa anatupa tahadhari tusimchague. Kwa lugha nyingine alichokuwa anasema ni kwamba akitangazwa Rais atahakikisha kila kijiji kinaichangia serikali yake milioni hamsini. Hii ni kama adhabu kwa wananchi kwa kufanya makosa ya kumsukumizia mtu madaraka yanayomzidi kimo. Na sasa anatimiza ahadi yake kwa vitendo. Wachagua hovyo wasilalamike hovyo wakianza kutendewa hovyo...mlilikoroga sasa mlinywe, acheni kulialiaWalituahidi 50m kwa kila kijiji badala yake wamekuja kuchukua 20,000 kwa kila mwanakijiji
Wewe unastahili kulipwa kwa kazi yako yakupigania ujinga uliopo.
Lipwa utulie usilete upumbafu wako huku.
Umeanza wewe kuchanganya mada kwanza Headline na kilichopo ndani haviendani! alafu kama ni hivyo ao ulio waajiri unawalipa mshahara kila mwezi? una umekamilisha usajiri wako na kodi unalipa? labda funguka hapa oisi yako hiyo ni kinini then tuambie mapato yako kwa mwaka na kama ao wafanyakazi wana mikatabaHivi hawa wafanya kazi wangu ni vibarua/ wafanyakazi/waajiriwa au wajasiriamali? Maana naona unachanganya mada
kijana unaelewa maana ya kodi ya kichwa ?Katika kamradi kangu kanakoniingizia kipato nimeajiri vijana wawili ili tusaidiane kupiga vita umasikini. Amepita mtendaji anasema ni lazima wale vijana niwakatie vitambulisho vya machinga ili watambulike.
Waziri Jaffo please tunaomba mtueleweshe wananchi, mlipowaita wakuu wa mikoa na wilaya mara ya pili ili kupeana mbinu za kugawa vitambulisho vilivyoonekana kusua sua ndicho mlichoagiza? Maana huku mtaani tumeanza kukiona cha mtema kuni
Haya ni maneno kipashkuna au maneno ya umbea kwenye mkeka hebu tuambie tuambie tumefanikiwa lipi tangu "cha sifa" alivyoanza kutumia fedha za umma? Jibu tukupe ushahidi mpaka wa picha. Anza na upigaji uliofanyika kwenye ununuzi wa ndege wakati unajibu hili rejea chenji ya joka la makengezaJionee aibu
Wangekupatia hata asilimia ndogo ya hiyo pesa wewe.. si bado ungenunua kitambulisho kama upo kwa hayo. Kwanini mnapenda kuwa hasi sana.. jilaumu mwenyewe na acha uvivu. Maendeleo yataletwa na nyie wenyewe huko mlipo.. kumbuka pia Serikali inafanya mengi huko huko. Bora hadi sasa pesa zinavyotumika tunaziona.. sio mpewe muanze kulalamika kwa kukosa akili za hata kujiendeleza, kuweni na mawazo chanya ili mjipaishe. Kila mtu na mzigo wake mwisho wa siku. Usipofanya kazi na husile..
Haya ni maneno kipashkuna au maneno ya umbea kwenye mkeka hebu tuambie tuambie tumefanikiwa lipi tangu "cha sifa" alivyoanza kutumia fedha za umma? Jibu tukupe ushahidi mpaka wa picha. Anza na upigaji uliofanyika kwenye ununuzi wa ndege wakati unajibu hili rejea chenji ya joka la makengeza
Na kupeleka mamilioni Chato
Billions Rebecca si ajabu ni zaidi ya bilioni 100 wakati ina hadhi ya kijiji tu.
Tungenunuwa tractor 1.Andika hapa kama muda huu kijijini kwako mngepewa hizo pesa.. wewe ungetaka kuona zinasaidiaje.. na hapo bila kujali kama utasikilizwa au wata ignore yako.
halafu anafanya makusudi,ndicho kinachoudhi,saa nyingine tunawalaumu washauri wake,wakati tatizo tunajua lilipo..lol