Walituahidi 50m kwa kila kijiji badala yake wamekuja kuchukua 20,000 kwa kila mwanakijiji

Kutumia pesa bila kufuata kanuni na sheria matokeo yake ndio haya ,pesa zote zimepelekwa kwenye ndege ,standard gauge, stiegersgorge , matokeo yake pesa kwenye mzunguko hakuna ,sasa serikali utapata wapi kodi ya kuendesha nchi ,majibu vitambulisho vya wajasilia Mali .
 
Sasa uliyoandika ndio wewe mara milioni.
Bora Raisi asizitoe kmaa wanachi wengine akipi kama zako. Duh fukia kichwa chako.kwanza.. inasikitisha kwa kweli duh.duh duh!!!!
Nimeamini kweli wewe mchepuko!
 
Back
Top Bottom