Zipo jamii ambazo zinaamini kwenye kutairi watoto au hata watu wazima,lakini pia vitabu vitakatifu vimeeleza umuhimu wa tohara.
Je, tohara ilianzia wapi na Nini umuhimu wa kutahiriwa na yapi madhara ya tohara?
Wasiotahiriwa wanafaidi Nini na wanakosa Nini?