Waliosomea St. Joseph's Ujiji Seminari miaka ya 1980s..

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,655
Reaction score
2,003
Hebu tukumbuke those good old days! Ni nini kinakufanya uimiss shule yako hii? Mie nammiss Pishi Zee na Masayansi (RIP) kwa mapishi ya ubwabwa na mgebuka siku za Jumapili bila kusahau kitimoto.
 
Mi historia yangu iliaanza 1999 ....... issue ya kumix mawese(msimamo)kama Niko sawa na maharage ......enzi za kuoga beach lake Tanganyika hii ndo ilipelekea mi kupugwa(kufukuzwa) seminary as nilioga sehemu isiyo ruhusiwa zaidi ya beach,kukutana na Rector Paul Kibada(RIP) huku nimetoroka schools, n.k.....aiseee umenikumbusha mbali
 
tupo hapa unasemaje maana wengine sisi tumekua wakuu wa mikoa,sio uanze kutupiga mizinga
 
Poleni vijana, sisi tulisoma hapo enzi za Rector Mathew Shija askofu mwanzilishi wa jimbo la Kahama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…