Safi sanA!! HIVI MTU KAMA WEWE UTACHUKIAJE UJAMAA?....MWALIMU SOBO NILIKUWA NAMZIMIA SAANA,NA KITENESI UWANJA WA BASKET TTC..,AU KWENDA KIBASILA KUFUATA MIHOGO YA BAB RAJAMzee ndevu alikuwa anauza maembe na mihogo ya kukaanga, shilatu na matemu nwakumbuka, pia kulikuwa na mwalimu mwanza, sisi tumetumia maabara toka primary, kulikuwa na duka la shule tunakula cheulo na tambi. Wakati huo muziki ni boneyM, Abba group, the jackson 5 (off the wall). Saa nne tunakwenda PE. Kulikuwa na mahali panaitwa cosata palikuwa na duka la bora. Karibu na hapo kulikwa na maghorofa wanaishi wachina, tulikwa tukienda kuanhalia sinema za kivita. Umenukimbusha mbali.
ha ha ha! Msongole geography!!haya weee..bila ya kumsahau mwl.bibi msongole,mwl ticha mussa,mwl magessa na wengine kibao...love being part of chang'ombe
:biggrin1:
Mzee ndevu alikuwa anauza maembe na mihogo ya kukaanga, shilatu na matemu nwakumbuka, pia kulikuwa na mwalimu mwanza, sisi tumetumia maabara toka primary, kulikuwa na duka la shule tunakula cheulo na tambi. Wakati huo muziki ni boneyM, Abba group, the jackson 5 (off the wall). Saa nne tunakwenda PE. Kulikuwa na mahali panaitwa cosata palikuwa na duka la bora. Karibu na hapo kulikwa na maghorofa wanaishi wachina, tulikwa tukienda kuanhalia sinema za kivita. Umenukimbusha mbali.