integral sign Senior Member Joined Jul 13, 2013 Posts 160 Reaction score 13 Dec 12, 2015 #1 Naomba kuuliza kama kuna MTU aliyepata mkopo halafu ukaenda UDSM aliupata baada ya muda gani? Maanake na mm umepitia huko wakati nimehamishiwa chuo kingine.
Naomba kuuliza kama kuna MTU aliyepata mkopo halafu ukaenda UDSM aliupata baada ya muda gani? Maanake na mm umepitia huko wakati nimehamishiwa chuo kingine.