balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,459
- 12,584
RIP hao jamaaNi watu nikiowafahamu fika,walituburudisha wengi na engine tukifanya nao kazi.Miaka kashasha baada ya kuondoka kwao hatuwakumbuki tena ,nawataja Kwa uchache.John Maganga, Patrick Kuambiana,Adam Kuambiana, James Dandu,Complex,Rankeem Ramadan, Japanese,Langa Kileo
Kanumba,M poki Bukuku,Adam Lusekelo,Julius Nyaisanga,Mwl.Mrimi Mnandi etc
Ni kweli ndugu wote tumekumbushwa mbali na mleta mada.Hao watu waliondoka ghafla,na sisi tumewasahau haraka sana.R IP.Umenikumbusha mbali sana
Not to that extentUkiona hukumbukwi ina maana hugusi maisha ya watu kwa extent kubwa
Ingekuwa linaandaliwa tamasha kila mwaka Kwa ajili ya kuwakumbuka wote na kungekuwa na jarida lenye mkusanyiko wa historia yao na kazi zao.Kifanyike nini labda mkuu? Toa wazo.
Prof.Mlahagwa,Dk.Kweka,Dk.Mbeho,prof.Batalamfy,prof.Shayo RIP.Aaah kumbe ni wasanii, mi namkumbuka Prof. Haroub Othman mchambuzi makini, Prof. Chachage, kwa hawa wachache wameacha mbegu iliyoota lkn......
Ni watu nikiowafahamu fika,walituburudisha wengi na wengine tukifanya nao kazi.Miaka kadhaa baada ya kuondoka kwao hatuwakumbuki tena ,nawataja Kwa uchache.John Maganga, Patrick Kuambiana,Adam Kuambiana, James Dandu,Complex,Rankeem Ramadan, Japanese,Langa Kileo
Kanumba,M poki Bukuku,Adam Lusekelo,Julius Nyaisanga,Mwl.Mrimi Mnandi etc
Walitufaa Kwa Wakati Fulani,hata wakang'ara Kwa kipindi Fulani.Tusiwe wa kwanza kuwahukumu,wangepata muda huenda wangejirekebisha.Hiyo list ina wazinzi wabakaji wala unga walevi wa kupindukia etc etc aagh..mengine aachiwe mungu tu jamani
Aman kwa chachage profAaah kumbe ni wasanii, mi namkumbuka Prof. Haroub Othman mchambuzi makini, Prof. Chachage, kwa hawa wachache wameacha mbegu iliyoota lkn......