Waliondoka wakasahaulika,lakini mbona tuliwasahau.mapema?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,362
12,450
Ni watu nikiowafahamu fika,walituburudisha wengi na wengine tukifanya nao kazi.Miaka kadhaa baada ya kuondoka kwao hatuwakumbuki tena ,nawataja Kwa uchache.John Maganga, Patrick Kuambiana,Adam Kuambiana, James Dandu,Complex,Rankeem Ramadan, Japanese,Langa Kileo
Kanumba,M poki Bukuku,Adam Lusekelo,Julius Nyaisanga,Mwl.Mrimi Mnandi etc
 
Ni watu nikiowafahamu fika,walituburudisha wengi na engine tukifanya nao kazi.Miaka kashasha baada ya kuondoka kwao hatuwakumbuki tena ,nawataja Kwa uchache.John Maganga, Patrick Kuambiana,Adam Kuambiana, James Dandu,Complex,Rankeem Ramadan, Japanese,Langa Kileo
Kanumba,M poki Bukuku,Adam Lusekelo,Julius Nyaisanga,Mwl.Mrimi Mnandi etc
RIP hao jamaa
 
Ukiona hukumbukwi ina maana hugusi maisha ya watu kwa extent kubwa
 
Ni watu nikiowafahamu fika,walituburudisha wengi na wengine tukifanya nao kazi.Miaka kadhaa baada ya kuondoka kwao hatuwakumbuki tena ,nawataja Kwa uchache.John Maganga, Patrick Kuambiana,Adam Kuambiana, James Dandu,Complex,Rankeem Ramadan, Japanese,Langa Kileo
Kanumba,M poki Bukuku,Adam Lusekelo,Julius Nyaisanga,Mwl.Mrimi Mnandi etc

Hiyo list ina wazinzi wabakaji wala unga walevi wa kupindukia etc etc aagh..mengine aachiwe mungu tu jamani
 
Hiyo list ina wazinzi wabakaji wala unga walevi wa kupindukia etc etc aagh..mengine aachiwe mungu tu jamani
Walitufaa Kwa Wakati Fulani,hata wakang'ara Kwa kipindi Fulani.Tusiwe wa kwanza kuwahukumu,wangepata muda huenda wangejirekebisha.
 
Kila mmoja hukumbukwa na kada Fulani kwa "alivyotenda" hadi "kuwakuna" wahusika.
So ajabu unayemwona ni muhimu kwa wengine asiwe chochote wala lolote!
 
Hivi Mtoto wa Dandu alikuwa na muziki gani wa kukumbukwa hasa? Labda nitajiwe hapa. Huyu jamaa alipata advantage tu ya uchanga wa tasnia ya muziki nchini in the early 2000s. Nikisiliza nyimbo zake zote kafanya remix ya nyimbo za zamani za kina Balisidya, Marijani nk pamoja na zile za Kikongo, song wanaimba wengine yeye anaingizia sauti tu kama Koffi. Enzi hizo hata ukatengenezewa beat upige vigelegele wimbo mzima unatoka.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom