*UNATAKA KUWA MHANDISI?*
Kama umemaliza *kidato cha sita* katika masomo ya *PCM* au *Diploma (NTA Level 6)* na unataka kuwa mhandisi, Basi jibu ni moja tu.
Karibu na ujiunge na chuo cha St. Joseph ili *ufuliwe* katika fani mbalimbali za uhandisi ili kwenda na kasi ya uchumi wa viwanda.
Fani zinazotolewa ni kama:
*1. Electrical and Electronics Engineering*๐จ๐พโ๐ง.
*2. Electrical and Communications Engineering*๐ฉ๐พโ๐ง.
*3. Mechanical Engineering*๐จ๐พโ๐.
Fani hizi za uhandisi ni kwa ngazi ya *shahada*. Na ni kwa muda wa miaka *minne (4)*.
Namna ya kuomba kujiunga ni kupitia wavuti ya chuo
SJUIT au kufika chuoni *luguruni kibamba, Dar es Salaam* ofisi ya admission nawe utapokelewa na kusajiliwa.
Vigezo vya chini vya kujiunga ni *D* mbili kwa wale waliosoma *PCM* na kwa wale waliohitimu *NTA level 6* ni GPA ya *3.0*
Wale wote wenye vigezo na bado hawajapata chuo basi wanakaribishwa kujiunga na chuo cha St. Joseph ili kufikia ndoto zao za kuwa wahandisi nchini Tanzania.
Wahi maana nafasi ni chache na muda uliobaki ni mchache.
Kwa mawasiliano zaidi piga nambari zifuatazo:
*A. 0685061723. (Airtel)*
*B. 0679264357. (Tigo)*
*C. 0624051909. (Halotel)*
*D. 0764951519. (Voda)*
*E. 0766500601. (Voda)*
Au jiunge group letu la whatsapp ili kupata taarifa zaidi kupitia link iliyotumwa na taarifa hii.
*
WhatsApp Group Invite
*๐จ๐พโ๐St. Joseph University๐จ๐พโ๐*
*๐Where your dreams are Nurtured๐*