Jana nilienda kuuliza walinijibu kuwa watatoa kati ya tareh 5 au 7 mwez wa 12, coz kuna michakato ya ndani kwa ndani inaendelea..
Ila pia afisa niliyemkuta zamu, alienda mbali kwa kusema kuwa kuna kada ilikuwa na watu wengi waliomba kwa hyo bado wanamalizia kufanya marking ili waje kutoa kqa pamoja..
Nashukur