F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,868 Reaction score 1,291 Jan 30, 2015 #1 vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha
vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha
Simiyu Yetu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 18,949 Reaction score 4,643 Jan 30, 2015 #2 fazam said: vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha Click to expand... Unataka kusema nini sasa.
fazam said: vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha Click to expand... Unataka kusema nini sasa.
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,820 Jan 30, 2015 #3 watapewa pesa ya kujikimu ya siku saba(subsistance allowance)
Mgayal JF-Expert Member Joined Oct 29, 2014 Posts 306 Reaction score 67 Jan 30, 2015 #4 Blessed said: watapewa pesa ya kujikimu ya siku saba(subsistance allowance) Click to expand... Samahani ni sh. ngap hiyo pesa ya kujikimu mana ndo naisubiria pindi ntakapoanza utumishi
Blessed said: watapewa pesa ya kujikimu ya siku saba(subsistance allowance) Click to expand... Samahani ni sh. ngap hiyo pesa ya kujikimu mana ndo naisubiria pindi ntakapoanza utumishi
J jabojabo Member Joined Nov 2, 2014 Posts 12 Reaction score 2 Jan 30, 2015 #5 Wengi huwa wanapewa 65000X7
Mgayal JF-Expert Member Joined Oct 29, 2014 Posts 306 Reaction score 67 Jan 30, 2015 #6 Duuu ndomana AGC inachukua mda kuita watu takribani 317 kama kweli watatoa pesa ya kujikim kwa wote. All in all tusubiri tuone.
Duuu ndomana AGC inachukua mda kuita watu takribani 317 kama kweli watatoa pesa ya kujikim kwa wote. All in all tusubiri tuone.
K keepthefaithalive Member Joined Aug 4, 2014 Posts 44 Reaction score 15 Jan 30, 2015 #7 fazam said: vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha Click to expand... kupewa utapewa ni 455000...ila nakushauri uwe na hela yako pembeni ya kukusukuma angalau mwezi mmoja na zaidi kwa sababu mara nyingi hiyo pesa kuipata nayo inachukua muda sana japokua ni stahiki ya mtumishi!
fazam said: vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha Click to expand... kupewa utapewa ni 455000...ila nakushauri uwe na hela yako pembeni ya kukusukuma angalau mwezi mmoja na zaidi kwa sababu mara nyingi hiyo pesa kuipata nayo inachukua muda sana japokua ni stahiki ya mtumishi!
M Mbuzi Mkali Member Joined May 3, 2012 Posts 84 Reaction score 25 Jan 31, 2015 #8 duhh noma kweli hiyo pesa haitoshelez kabisa kutafuta chumba, kununua kitanda, godoro na vingine vdogo vya kuanzia.
duhh noma kweli hiyo pesa haitoshelez kabisa kutafuta chumba, kununua kitanda, godoro na vingine vdogo vya kuanzia.
Punda wa Dobi JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 591 Reaction score 238 Feb 2, 2015 #9 National Audit anatoaga 9,000,000.00
K keepthefaithalive Member Joined Aug 4, 2014 Posts 44 Reaction score 15 Feb 2, 2015 #10 Punda wa Dobi said: National Audit anatoaga 9,000,000.00 Click to expand... kweli nimeamini wewe ni PUNDA WA DOBI kama unavyojiita!
Punda wa Dobi said: National Audit anatoaga 9,000,000.00 Click to expand... kweli nimeamini wewe ni PUNDA WA DOBI kama unavyojiita!